UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Aisee wadau tukienda na ule kweli Uingereza ni taifa stars ya ulaya, timu mbovu sana

Wachezaji wao ni very average na hata kocha wao mwenyewe yuko below average....
 
ENG hawana historia nzuri na matuta
Kuna mwaka walikutana na POR kama kumb. zitakuwa sawa walikosa wote
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom