Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,846
Naona wameamua kumuanzisha Lukaku na Onana kwasababu wachezaji wa Ufaransa ni wakubwa wakubwa wa miili...Trossard anawaweza at least wakiwa wamechoka ila kuanza hapanaLukaku tokaaa... Trossad ingiaaa