Mkuu kwani wanaliona hilo, wao wamekazana refa amewaonea. Kwani wasingecheza faulo za kijinga kama za kipa wao, sanogo na rose, refa gani mjinga angewapa kadi?tuko pamoja
kupewa kadi sio lazima umuumize mpinzani,tafadhali elewa hilo.kufanya faulo makusudi hata mtu asipoumia lazima upewe kadi,rangi ya kadi itategemea na eneo ulilofanyia kadi na situation.
pili,faulo 16 za arsenal sina uhakika nani alirudia au la,lakini naweza kukuelezea kadi mbili za njano kwa nini zilitolewa... moja ya SANOGO he lunged into the goalkeeper very late,he could have avoided him, ya pili ROSCISKY he fouled Bayern player intentionally after losing the ball and realizing the imminent danger,kama utakumbuka vizuri imediately after that he played another stupid foul which on another day he could have a second yellow but ref waived it
kwahio yellow za arsenal ni sahihi kabisa kama zile za bayern,wether kuna jambo lingine kwenye faulo 8/16 sijui unasema nini
Huyo anakupotezea muda wako, arsenal ikitaka ichukue ubingwa labda ije kushiriki ligi ya Vodacom Premier-Tanzania.Ha ha ha haaaaa! Sizinga
Eti mbabe wangu! Tatizo hutaki kukubali ukweli!
Eti Mwaka huu kabati Lazima ing'ae!!!! Kwa timu gani?
Kocha wako ameanza Kua na Akili! Kaanza muweka Geroud bench baada ya kelele sn! Ata kwa Ozil itafika tu!
Baba yao mwaka huu anaumwa kidogo, tusubiri mpaka atakapopona arejee na makali yake, kinyume na hapo hakuna timu England inayofurukuta UEFA CL labda kidogo Chelsea.Nilicho kigundua mimi ni kua ligi ya Uingereza imepongua ule ubora wake wa asili. Sasa ni mwaka wa pili mfululizo wanashindwa kuivusha angalau timu moja kwenye hatua ya nusu fainali, wakati si kawaida yao.
Mkuu unabishana na hao wasindikizaji wa ligi kwa muongo mzima sasa. Furaha yao ipo kwenye kubishana baiskeli ya miti tumeiona kwenye mporomoko iko spidi , wamepewa milima wanaambulia vipigo mpaka bao 5-1, Hata hiyo wanayosema mbovu iliwatungua O.T na OZIL wao akiwa ndani mpka akaomba SUB. Man U hiyo hiyo mbovu ilipokuja Emirates walipagawa, je ingekuwa fiti kama siku zote, siwangelamba bao 8 kama mwaka juzi.kama kweli unafikiri RED CARD YA KIPA WA ARSENAL ILIKUWA HAISTAHILI basi nimemaliza huu mjadala.
Huyo anakupotezea muda wako, arsenal ikitaka ichukue ubingwa labda ije kushiriki ligi ya Vodacom Premier-Tanzania.
Mbuzi jana kachinjwa bado kuliwa supu ndani ya Arena wiki mbili zijazo.
kwa maelezo haya tunabalance hayo makosa ya refa kwa kadi? na madhambi 8/16 bila uwiano wa kadi? kwahiyo sheria zinaoperate hivyo?
narudia kadi nyekundu za man city na asernal marefa hawakuwa makini wakaharibu radha na matokeo ya mechi hizo.
Mkuu unabishana na hao wasindikizaji wa ligi kwa muongo mzima sasa. Furaha yao ipo kwenye kubishana baiskeli ya miti tumeiona kwenye mporomoko iko spidi , wamepewa milima wanaambulia vipigo mpaka bao 5-1, Hata hiyo wanayosema mbovu iliwatungua O.T na OZIL wao akiwa ndani mpka akaomba SUB. Man U hiyo hiyo mbovu ilipokuja Emirates walipagawa, je ingekuwa fiti kama siku zote, siwangelamba bao 8 kama mwaka juzi.
Hao wabishani wa vijiwe vya kahawa wakubali au wakatae Ozil ana udhaifu kama wa Mrisho ngasa. Ngassa alipojaribiwa West Ham akaambiwa bado dhaifu aongeze msosi, aliporejea akaoa mke wa pili.
Kwa post zako tu nilishakuelewa wewe ni mtu wa aina gani ndiyo maana nikamwambia Ntuzu mimi nimekusamehe, hujishangai sikujibu! Hivi ni mtu gani mwenye akili zake timamu ataongea maneno kama hayo hapo juu wakati mpira umeangaliw adunia nzima na kila mtu ameona Arsenal hamna kitu pale.Hao wakina Hazard ndio mastaa wenu wanang'aa mechi zote? Juzi mlipocheza Man Shit alikuwa wapi? Huyo Torres nae allikuwa wapi? Ozil ni mchezaji mzuri na game zote 2(ya Liver na Buyern ndyie alifanya pass nyingi complited) sema anawaumiza sana wewe na mwenzako Ntuzu kubalini tu pale tumelamba dume ingawa sielewi kwanini mnafuata akili za Pundits wenu. Chelsea bado ni team mbovu just matter of time mtakubali hilo.
Blue: Hivi umegundua kosa gani nimelifanya? Mi nashangaa uelewa wako uko sehemu gani unaposema eti wachezaji hao 10 ukiacha kipa ni nyani nilivyosema goalkeeper amekuwa Man of the Match naona kama nabishana na mtu asiyefahamu vizuri mpira au alishawahi kuugua degedege, kwakuwa hata huyo Ntuzu muda mwingine anakuwa na akili zake na anakuchora tu a.ka anaku"mind game".
Jana B. tuliwashika refa akafanya madudu tukafungwa "hizo nyingine ni longolongo tu"
Hivi hata Fabiansk kupigiwa bomba lile na Kroos na kusababisha ajigonge mwenyewe kwenye mwamba wa goli ni hujuma??
Huyo Sizinga Sijui kabla gani! Maana ni mbishi sn! Au Sijui ameshakunywa Maji ya jezi ya Arsenal?
Pale ktk timu Yao Ozil ndio kikwazo pele! Yani Yule Sijui teja? Km Mimi ningekua kocha wake namweka bench Au nampeleka kwa mkopo QPR! Mechi ya Liverpool aliboronga na Jana tena! Alafu huku mitaani Akina Sizinga na Katavi na Balantanda etc wamekazana kutupigia kelele Ozil Ozil Ozil! Nawambia mchoke kabisa!
Nashangaaa hao wanaochonga maneno hapo juu hawajajibu swali langu. Labda uelewa wao zaidi ya refarii haufiki mbali.mkuu umenichekesha sana!!! kuna mshabiki mmoja wa arsenal nilimwambia lile shoot hata mngekuwa 12 goli lingeingia!
Hao wakina Hazard ndio mastaa wenu wanang'aa mechi zote? Juzi mlipocheza Man Shit alikuwa wapi? Huyo Torres nae allikuwa wapi? Ozil ni mchezaji mzuri na game zote 2(ya Liver na Buyern ndyie alifanya pass nyingi complited) sema anawaumiza sana wewe na mwenzako Ntuzu kubalini tu pale tumelamba dume ingawa sielewi kwanini mnafuata akili za Pundits wenu. Chelsea bado ni team mbovu just matter of time mtakubali hilo.
Blue: Hivi umegundua kosa gani nimelifanya? Mi nashangaa uelewa wako uko sehemu gani unaposema eti wachezaji hao 10 ukiacha kipa ni nyani nilivyosema goalkeeper amekuwa Man of the Match naona kama nabishana na mtu asiyefahamu vizuri mpira au alishawahi kuugua degedege, kwakuwa hata huyo Ntuzu muda mwingine anakuwa na akili zake na anakuchora tu a.ka anaku"mind game".
Jana B. tuliwashika refa akafanya madudu tukafungwa "hizo nyingine ni longolongo tu"
Pengine mara ya kwanza kutua England wachezaji wa timu pinzani walikuwa wanamshangaa yale macho kama kuna binadamu anaweza kuwa vile, mwishowe wanafungwa. Sasa watu wameyazoea yale macho ya Amphibians wanakula naye sahani moja...
Team za ugenini ndio zinashinda....kuna wingi wa penalt....kila team inajitahid kupiga cape exept at madrid....red card zinatolewa sana..tupia maajabu mengne uliyoona
Nimewahoji hili kwenye post namba 19 ya uzi huu wote wamekula kona....Asernal Bayern
foul 8 16
yellow car - -
Red cad - -
Tafadhali mwenye majibu atupie hapo...
Nimewahoji hili kwenye post namba 19 ya uzi huu wote wamekula kona....
Ha ha haaaa! Kweli Wewe ni Wa kusamehe bure!
Pesa haiko kwa kuuza wachezaji tu mukulu! Ktk Hilo umechemka!
Alafu Siitaji sn kukujibu juu ya Mourinho Lkn kwa wale wadau Wa Soccer bila Shaka ukimuweka Mourinho na Wenger basi kura zao wataangushia kwa Mourinho!
Ukimtoa Torres, Eto'o, Lampard, Terry. Hawa waliobaki ni nani alikua na uwezo mkubwa Wa kukaribia Kua star kabla ya kuja Chelsea!
Tukija kwa Lukaku. Tuko na strikers watatu! Torres, Eto'o na Ba. Kwanini tuendelee kumshikilia mchezaji wakati Nafasi ya kucheza Hana na anahitaji kucheza na umri wake ni Mdogo? Lazima umtoe kwa mkopo akapate uzoefu huko kwanza!
Na pia ktk biashara ya kuuza wachezaji ata Chelsea wanaifanya! Tena kwa faida kubwa sn!
Naam...Arsenal walihujumiwa na refa..!Kwahiyo Mkuu wataka kusema kuna hujuma ktk UCL?
faida ya kumuuza Nemanja Matic kwa £2m na kumnunua tena kwa £22???
Mh!una lako wewe
Ashley cole,peter cech,willian,hazard,etoo,sarah,schurrel, hawa hawakuwa mastaa huko walikotoka?
Nasema una lako wewe..!
Lukaku,van ginker,de brune,ba,moses mbona hawapewi nafasi?
Mujifunze kukubali ukweli