UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
City ! City mnaleta mchezo jamani hauwezi kustuka kwa matokeo haya ya ivi karibuni bayern kapigwa 3, man u 4,toten 7 , arse 6 toka usingizini city chini ya eng pelligrin ni hatare .city walianza kwa kuchechemea ndo maana bayn wakashinda 3 lakini hakuna atakaye nyamazisha moto huu

Tena mtaanzia Etihad kisha mtaenda kule machinjoni.
 
Sanchez - Iniesta - neymar - la pulga - .. man city Kwa heri sijui mtamkaba nani muache nani !!

Robben - ribery - mandzukic- muller - martinez - gotze - alaba- lahm- n.k .. asenane bye bye ... !
 
mpaka katikati ya mwezi wa kwanza atakuwa ameshapona, Ni Lionel Messi. Mbona Man City atatafuta mahali pa kutokea!!!
 
man city hawana uzoefu na uefa ... Hii ni purposely wanakaribishwa kwenye dunia ya soccer , tikitaka itawafunza kitu maana hata special one alivamia pale akafundishwa soccer na wale watoto akawa na misimu mibovu Madrid kisa barca.. na nakumbuka arsenal ilikuwa inaaminika Kwa kutandaza pasi EPL walipoenda uefa wakakutana na ( messi 4 wao 1 ) .. they learned smthng ! Time for man city to learn !
 
na huyu mtoto Neymar alivokuwa na mbwembwe!!!
 
Bayern watatoka tu mbona mwaka jana aggregate ilikuwa 3 kwa 3 sema tu alinufaika kwa magoli ya ugenini

Hahahha!! mkuu mimi sijui matokeo yatakuwaje lakini ninachoamini ni kwamba mechi zote mbili zitakuwa ngumu.

Utofauti na mwaka jana, mwaka huu mechi ya kwanza itakuwa Emirates, halafu ya pili itakuwa Allianz Arena
 
jamani tuacheni kujipa moyo. munich ni timu nzuri sn kwa sasa ila katika soccer chochote chaweza kutokea pia nlichoona miaka michache ilopita bingwa wa uefa huwa mara nyingi anatoka upande wa barca so km city atamtoa barca basi anaweza kufanya maajabu msimu huu bt kiukwel nadhani watu wengi wanahamu sn na hizi mechi ila binafsi naona timu zote ni nzuri na chochote chaweza kutokea
 
ila City hawez kuitoa Barca.
 
mbona washamba nyinyi? Unajua maana ya breaking news? Au mshazoea breaking news basi habari itakuwa magaidi wamelipua, ndege imeanguka, basi limepinduka, acheni ushamba

Ndiyo mkuu tumezzoea hivyo siyo issue hata hivyo!:smile-big:
 
Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo
 
mikazó;8681796 said:

haina shida sisi Tutakuchukua na kukupeleka milembe, mtu ni mwehu halafu unatafuta sababu ili usionekane mwehu.
 
Kijana Tyta em kam zis wei tumshawishi huyu kiongozi atupiemo kapicha ili once akijakuvua msimu ujao tusimshangae,tuwe tumeshakuwa familiar na pozi lake akiwa mtupu!
 
Last edited by a moderator:
mikazó;8681796 said:
Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo
Isije ikawa mwenzetu hizo nyeti zenyewe tayari hazipo!
 
mikazó;8681796 said:
Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo

Kijana Tyta em kam zis wei tumshawishi huyu kiongozi atupiemo kapicha ili once akijakuvua msimu ujao tusimshangae,tuwe tumeshakuwa familiar na pozi lake akiwa mtupu!

tunamtakia safari njema..
images
 
haina shida sisi Tutakuchukua na kukupeleka milembe, mtu ni mwehu halafu unatafuta sababu ili usionekane mwehu.
Nadhani ni solution nzuri. Mpira uchezwe Ulaya, mtu avue ngua Tanzania, hata mechi moja hajawahi kwenda kuangali UK. Makubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom