ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Tayari ushakuwa mwaka wa shetani kwa Arsenal...
Mmmh!! hapa shughuli ipo
umeona enhee upande wa city..
Tayari ushakuwa mwaka wa shetani kwa Arsenal...
Mmmh!! hapa shughuli ipo
Hata mimi naamini.
Kwa kigezo gani??
hana wachezaji wakushinda uefa...matairi yenyewe ndio yanaanza kuchomoka taratibu
Man U fainali ileeeeeeeeeee naiona kwa mbaaaaaaliiiiiiiiiiiii.
habari ndiyo hiyoo sijui nani atatwaa ubingwa msimu huuu?
Maskini arsenal na man city ndio mwisho,
Man city vs Barcelona
Arsenal vs bayern Munich
man city tunamtoa kama kusuma mlevi vile
sasa hii ni breaking news kweli??????????????????????????????????????????????????????????????????????????/
Sisi kama Arsenal tumeonewa,kila mwaka tupangiwe timu moja,hata Buyern sidhani kama wamefurahi.
Wale waarabu hawajapinga hii draw?
ahsante sheikh yahyabarca kama ilivyowatokea mwaka jana walicheza na stricking force kali ya bayn wakachezea more more than 7 na yatawakuta yaleeee