UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Bado ninaipa Madrid nafasi kubwa ya kuprogress kwenda fainali...binafsi si mpenzi wa madrid ila ninaona wana kila ari na uchu wa kuutaka ubingwa!
 
UCL
madrid vs dortmund
bayern munich vs barcelona

EUROPA
chelsea vs basel
benfica vs fernabache
 
si muda mrefu draw itaanza wakuu images (1).jpg
 
Bado ninaipa Madrid nafasi kubwa ya kuprogress kwenda fainali...binafsi si mpenzi wa madrid ila ninaona wana kila ari na uchu wa kuutaka ubingwa!
Mkuu naungana na wewe, hasa ukiangalia historia ya Kocha Jose Mourinyo kuanzia alipokuwa na Porto Football Club
 
Wajerumani wamepata bahati mbaya wote wanaanzia home,my prediction wembley barca vs mourinho,bingwa mourinho
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom