UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Barca 3-0 PSG, halafu nkukatishe kidogo,mpira sio hela peke yake Mancity wako wapi?,chelse je mpira ni adoption ya combination ya wachezaji waliokaa pamoja muda mrefu,sio kuokoteza tu kama Mancity au PSG

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wewe unajua mpira kaka.
 
Barca bila messi. Kama namuona vile ibracadabra anavyopiga ma free header pale barazani kwa valdez

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu wana jf tutakuwa pamoja kukuleteeni matangaazo ya moja kwa moja kutoka nyon ambapo ndio panapofanyika draw hii ya uefa champions league kuwa nami chebi a.k.a mzee wa kisiwa
 
ikiwa imebaki masaa 2 na nusu ile draw ya kujua ni nani na nani watakipiga katika nusu fainal ya champions legue hapa
Nyon, Vaud, Switzerland hali ya hewa ni
9 °C wakati jijini dar es salam ni 24 °C
tanzania ni saa nne na dk 34 wakati hapa nyon ni saa tatu na dk 35
 
ndugu wana jamii draw hii itaanza kwa saa za hapa nyon itakua ni saa 6 za mchana na kwa tanzania ni saa 7 za mchana
 
kama tunavyojua timu ambazo zimeingia nusu fainal ya uefa champions league ni real mardid fc barcelone bayern munich na na Dortmund na leo ndia tunasubiri draw ambayo itaamua ni nani na nani wataonyeshana ubabe kuwania kuingia fainal
ambayo fainal itachezwa tarehe 25 may 2013 ndani uk wembley. 4.jpg
 
Last edited by a moderator:
Vp europa league timu ipi nyingine iliyofudhu kwa nusu fainal tofauti na chelsea na basel? Cjapata matokeo mengine mkuu. Niabarishe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom