UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Mimi washabiki kama wwe huwa siwapendi kabisa, mtu unashabikia kwa lugha za matusi ili iweje? Why dont you put ur analysis logically kama mpenzi wa mpira? Mambo ya mashoga tena hayo yote ya nini? Ndo mana bongo mpira wetu hautaendelea kwa sababu sisi wenyewe hatujui ushabiki!

Wacha1 grow up already mkuu..unaweza kufikisha ujumbe wako bila kutumia matusi.
Jakubumba sio mara ya kwanza kwa huyu mtu kuambiwa na watu zaidi ya moja ikiwemo na mimi mwenyewe kuwa aache huu utoto wake.Ila ni mbishi sijapata kuona yaani sijui anataka aelezwe vipi!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani tusubiri mechi za mzunguko wa kwanza kwani ndo zitakazo onesha mwelekeo wa hizi timu zote.

Muda huu kila mtu atavutia kwake lakini baada ya mzunguko wa kwanza sasa huo wa pili mwezi march ndo utathibitisha nani kibonde na yupi mbabe.

Mimi macho na masikio yangu yako weekend
 
Ninachokiona hapa spain wataingiza timu 4 robo fainal, yaani zote, Barcelona, Real madrid, valencia na malaga. Nao German wataingiza timu 3 robo fainal. Bayern munich, BVB na shalke 04. Italy wana juve. Timu 8 nchi 3?!
 
Dah! Hi gem ya madrid na Man u jamani hapa kiama kimefika kiukweli..
 
Can't wait for this fixture.

The Special One will make the half of the City of Manchester un-special as he did to the other half of the City
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wote wanaoshabikia timu ya mashoga nao ni mashoga ...... nasikia kuna Invisible ameondoa ukweli hapa ... .. jifarijini tu where we dare talk openly khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee.

Kumbe hawapendi ushoga hadharani lakini kwa siri nao wamo .... phew! Kazi kubwa ... .... ...
 
Mimi washabiki kama wwe huwa siwapendi kabisa, mtu unashabikia kwa lugha za matusi ili iweje? Why dont you put ur analysis logically kama mpenzi wa mpira? Mambo ya mashoga tena hayo yote ya nini? Ndo mana bongo mpira wetu hautaendelea kwa sababu sisi wenyewe hatujui ushabiki!

Sihitaji kupendwa na mashabiki ambao wanashabikia kile wasichokijua. Manure players ni mashoga na ukweli niliweka hapa ukaenda kulia kama katoto ka miaka miwili ili ukweli ufichwe, kama wewe unaamini kwamba ushoga ndio rasilimali kwa nini ulie nyau? Huwezi kupenda pesa za mwizi kama wewe sio mwizi. Ukiwapenda Manure ambao ni mashoga penda na ushoga wao basi. Damn it!
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wote wanaoshabikia timu ya mashoga nao ni mashoga ...... nasikia kuna Invisible ameondoa ukweli hapa ... .. jifarijini tu where we dare talk openly khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee.

Kumbe hawapendi ushoga hadharani lakini kwa siri nao wamo .... phew! Kazi kubwa ... .... ...

Sawa uncivilized little fellow...now i realize you are more of a homophobic than a football fan.
What happened btn Scholes and Neville was just a silly moment of madness,it is about time you get over it.
Anyway you can continue making a fuss out of it,this little obsession of yours might have even deeper roots.
 
Can't wait for this fixture.

The Special One will make the half of the City of Manchester un-special as he did to the other half of the City

180 Minutes bro...wait and see.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kiama cha nani mkuu?

Mashoga

Sawa uncivilized little fellow...now i realize you are more of a homophobic than a football fan.
What happened btn Scholes and Neville was just a silly moment of madness,it is about time you get over it.
Anyway you can continue making a fuss out of it,this little obsession of yours might have even deeper roots.

Kumbe kushabikia mashoga ni civilisation ooops for some khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee phew! Ama kweli
ambitious invisibility oops invisible peas of ants have gota a lotta to learn. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio chababu wanaichukia Gunners .... ....
 
Haya wa jamii mnatoa maoni gani barca hiyooo na messi NDIO man to match wako wapi wale waliosema barca inashuka makali kidogo KIdogo
 
Wapaki mabasi wanaharibu ladha ya mpira...kabisa!wale wangecheza kama kawaida watafute goli moja au draw wasingefikia hapo walipo!
 
Wapaki mabasi wanaharibu ladha ya mpira...kabisa!wale wangecheza kama kawaida watafute goli moja au draw wasingefikia hapo walipo!
walizidiwa ujuzi mkuu!!na pia walikuja wakiwa na over confidence!
 
toka asubuhi nilisema milan hana ubavu wa kumfunga barca kwake!cku ile alimfunga ki zali tu,na kosa lao kubwa leo ni kuingia na staili ya kupaki basi!chezea barca wewe?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom