Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 878
Tatizo Man U huwa inasumbuliwa sana na timu za Spain, hapa sidhani kama Mashetani wataweza penya!!
Mwenye uwezo na ashinde hili pambano..lakini kutakuwa na mziki mzito sana.
Tatizo Man U huwa inasumbuliwa sana na timu za Spain, hapa sidhani kama Mashetani wataweza penya!!
welcome back to old trafford cristiano ronaldo....
Madrid lazima akae.. GGMU
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Me mshabiki wa Man U ila hapo kwa madrid kazi ipo though ni timu kama zingine
Dah,bora tungepewa madrid kuliko hawa celtic,hivi vitimu huwa visumbufu sana,barca alioga mbili pale,dah!naanza kusikia baridi!hivi dar huwa kuna baridi hivi!
RVP vs CR7.
I vet CR7..but only time will tell!!!:majani7:
Nimeipenda sana hii draw,i hope game zitakuwa tamu sana sijaona aliyepewa kibonde
Vipi wale waingereza wengine wa Alhamis hawajakutana na Dhahama?
Scholes vs Alonso
Carrick vs Khedira
Ozil vs Rooney
Benzema vs Persie
Valencia vs Marcello/
I vote RVP...may the best man take all the glory.