UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Nafuu time yangu imetoka nitaangalia game zote kwa raha kabisa.

What do you mean you
chelsick mupp.......ooops Mvina? Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We omba wakupatie kibonde vinginevyo 16 bora ndo break!
 
I know how you feel ... ... .. right inside your bones ...... ... .khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee maumivu yakizidi mwone Invisible akusaidie na JF doctor ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Uzuri hii ni michuano ya mabingwa, ili uchukue ndoo inabid upambane na mabingwa! So mlete yeyote si tunachapa tu, gunners' forever!

usijekutukana tu au kupotea humu ukazamia kwingine..

i want BvB na arsenal nione itakuwaje maana msimu uliopita walitolewa na arsenal hawa jamaa...
 
Possibly Man U will face FC Porto. I'm sure that Man U they are going to be the champions. Chicharito, Van Persie, Rooney, etc they are going to give as the trophy.
 
Nipo poa usipokubali kushindwa basi we si mshindani will bounce back next yr. Kilala Kheri, mjitahidi basi ndoo ibaki London hapo mwakani!
 
Utakuwa umefanya jambo jema sana mkuu. Nipe tu wazo kuu nitaelewa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kuelekea hatua ya 16 bora:Machaguo ya Arsenal na Man United.

Timu zinazoweza cheza dhidi ya Man United:
Celtic,FC Porto,AC Milan,Real Madrid,Valencia,Shaktar Donestk

Wapinzani wenye kufaa/ahueni kwa upande wa United: Celtic
Japokuwa inawezekana kuwa match ya upinzani lakini hawa ndio kidogo watakuwa rahisi kwa Man United.

Wapinzani wa tishio kwa United: Real Madrid
Kikosi hiki cha Mourinho bado ni hatari na kina nafasi ya kuchukua ubingwa licha ya kulazimishwa kuwa namba 2 kwenye kundi na wakali B.Dortmund.

Timu zinazoweza cheza dhidi ya Arsenal:Malaga FC,Barcelona,Borussia Dortmund,Juventus,Bayern Munich,PSG.

Wapinzani wenye kufaa/ahueni kwa Arsenal: Malaga FC
Hawa ni afadhali kwa Arsenal kutokana na ukweli kwamba hawana uzoefu katika ligi ya mabingwa.

Wapinzani tishio kwa Arsenal: Barcelona.
Nani wengine wa kuogopwa kama sio hawa? Wakiwa na Messi aliye kwenye kiwango moto wa kuotea mbali na uchu wa kuvunja rekodi ni dhahiri kwamba hii ni timu ngumu zaidi kukabiliana nayo.Christiano Ronaldo atateka vichwa vya habari bilashaka.

Mkuu Sumu hapo nimejaribu kuweka tafsiri rahisi kadri ya uwezo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Uzuri hii ni michuano ya mabingwa, ili uchukue ndoo inabid upambane na mabingwa! So mlete yeyote si tunachapa tu, gunners' forever!

Sawa wakali ili mambo yapendeze inabidi mpewe Borussia Dortmund ili muwang'oe kama mlivyofanya msimu uliopita.Pia Barca tutaona soka safi la pasi na magoli upande mmoja na mwingine pasi tupu.
 
usijekutukana tu au kupotea humu ukazamia kwingine..

i want BvB na arsenal nione itakuwaje maana msimu uliopita walitolewa na arsenal hawa jamaa...

Yaani naunga mkono asilimia 100 na mimi nataka iwe mabingwa wa Bundesliga.
 
Possibly Man U will face FC Porto. I'm sure that Man U they are going to be the champions. Chicharito, Van Persie, Rooney, etc they are going to give as the trophy.

Hopefully mkuu timu ziko vizuri sana na mwenye uwezo ndio atakayetwaa taji.Manchester United wako vizuri ila kazi ipo.
 
Kuelekea hatua ya 16 bora:Machaguo ya Arsenal na Man United.

Timu zinazoweza cheza dhidi ya Man United:
Celtic,FC Porto,AC Milan,Real Madrid,Valencia,Shaktar Donestk

Wapinzani wenye kufaa/ahueni kwa upande wa United: Celtic
Japokuwa inawezekana kuwa match ya upinzani lakini hawa ndio kidogo watakuwa rahisi kwa Man United.

Wapinzani wa tishio kwa United: Real Madrid
Kikosi hiki cha Mourinho bado ni hatari na kina nafasi ya kuchukua ubingwa licha ya kulazimishwa kuwa namba 2 kwenye kundi na wakali B.Dortmund.

Timu zinazoweza cheza dhidi ya Arsenal:Malaga FC,Barcelona,Borussia Dortmund,Juventus,Bayern Munich,PSG.

Wapinzani wenye kufaa/ahueni kwa Arsenal: Malaga FC
Hawa ni afadhali kwa Arsenal kutokana na ukweli kwamba hawana uzoefu katika ligi ya mabingwa.

Wapinzani tishio kwa Arsenal: Barcelona.
Nani wengine wa kuogopwa kama sio hawa? Wakiwa na Messi aliye kwenye kiwango moto wa kuotea mbali na uchu wa kuvunja rekodi ni dhahiri kwamba hii ni timu ngumu zaidi kukabiliana nayo.Christiano Ronaldo atateka vichwa vya habari bilashaka.

Mkuu Sumu hapo nimejaribu kuweka tafsiri rahisi kadri ya uwezo wangu.

Kama ndo hivyo nataka chama langu la AC Milan tukutane na Man U. Naichukia Man U kuliko kitu chochote kile.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kama ndo hivyo nataka chama langu la AC Milan tukutane na Man U. Naichukia Man U kuliko kitu chochote kile.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ha..ha kuwa makini na unachokiombea usije kukumbwa na dhahama.
 
usijekutukana tu au kupotea humu ukazamia kwingine..

I want bvb na arsenal nione itakuwaje maana msimu uliopita walitolewa na arsenal hawa jamaa...

umeona eeh, sisi tulichapa hawa manshit kachemsha, hata wale wengine shakta donesk si tulipiga tano pale chelski katoa povu! Walete walete hao!
 
arsenal w want barca!!?? .. I hope hatutopangwa na juve sijui nitashangilia wapi! ... maaana dah
 
Mkipangiwa Barca kuna wenzako watasema mnaonewa na kwa hali ya kikosi chenu ilivyo hamtatoka salama.
 
CL DRAW

Galatasaray vs Schalke

Celtic vs Juventus

Arsenal vs Bayern Munich

Shakhtar vs Dortmund

Milan vs Barcelona

Manchester United VS Real Madrid

Valencia vs PSG

Porto vs Malaga
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom