UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Mh hawa Barca lazima waumie vibaya safari hii ni kipondo heavy tunataka kuweka historia msimu huu
 
Benfica benfica Cadorzo Di Maria kazi kweli kweli kwa Liver Pool
 
So, if your shiny European football glass if half full, you could say that there is a distinct possibility of all-English finals in the Champions League and Europa League. If, however, your grubby UEFA tankard is half empty, you might conclude that everyone except Man United have very difficult draws.

Europa league draw>>>

Valencia/Atletico Madrid v Benfica/Liverpool

Hamburg/Standard Liege v Fulham/Wolfsburg
 
Anyway, tutalipa kisasi!

Hawa jamaa mi siwaogopi wala nini...Kama unakumbuka hata ile game ya fainali ilikuwa yetu sema ndo hivo,muda mwingi tulicheza tukiwa 10 uwanjani(Lehman alipewa red card dakika ya 18 tu) na tumeongoza muda mrefu kwa goli la Campbell la dakika ya 37....jamaa walikuja sawazisha dakika ya 76 na kutuongeza la 2 daika ya 80 tukiwa 10 uwanjania...Anyways,ni historia hiii tayari...Hawa jamaa tutawamudu tu(wanalijua hilo) maana hata form yao kwa sasa kwenye La Liga sio nzuri kiviiiile
 
Haya sasa kumekucha,
Arsenal Vs Barca tarehe 30/31-03/2010
Bayern Munich Vs Manu
Lyon Vs Bordeaux
Inter Milan Vs CSK Moscow

kwa mtaji huu wazee wa Gunners tutatoka kweli? lakini hakuna shaka tunaweza kurejea historia 2006 tulipomtoa bingwa mtetezi Ac milan kwao na kutinga fainali kama na hao wazee wa Catalan.
 
Man youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! hebu ngoja kidogo...its now man united, rooney to nani ...nani is trying to make some penetration to munic deffence....still united....nani again to babatov.. is now going..... unbelivable to united its danger now to munic...oooh!.. rooney stil going goooooool rooney now has done what was not expected to the munich boys...united 1 munich nil......
 
Hawa jamaa mi siwaogopi wala nini...Kama unakumbuka hata ile game ya fainali ilikuwa yetu sema ndo hivo,muda mwingi tulicheza tukiwa 10 uwanjani(Lehman alipewa red card dakika ya 18 tu) na tumeongoza muda mrefu kwa goli la Campbell la dakika ya 37....jamaa walikuja sawazisha dakika ya 76 na kutuongeza la 2 daika ya 80 tukiwa 10 uwanjania...Anyways,ni historia hiii tayari...Hawa jamaa tutawamudu tu(wanalijua hilo) maana hata form yao kwa sasa kwenye La Liga sio nzuri kiviiiile

...mimi nataka waje 100% perfect ili 'wanga wetu' kina Chelski na Manure wasipate visingizio oooh, mliwafunga kwakuwa, kwakuwa....

Hawa Barcelona wetu hawa,...mtashangaa wenyewe.
Am so happy na draw hii!...
 
something is wrong upstairs!
 
something is wrong upstairs!
Mshabiki bandia umerudi? Lakini matanga bado hayajaisha si unakumbuka kichapo cha Inter? Umebakia kuchungulia tu sasa wanaume wa shoka wakikutana na kuomeshana kitale wakati pensioners wamerudishwa Darajani kwa aibu.
 
Naona fainali ni Manu na Barca tena!!
Jiheshimu mkubwa hivi unafikiri kipindi hiki tutawaacha wapite? Washika bunuki tuko imaa kwa sasa na hatuwaachi Barca. Hivi unafikiri mashetani wekundu watapita hapa kwa B. Munchen? Lazima warevenji kipigo cha 1998. Tatizo la Man U Misifa kibao, tulieni mpira unadunda ndo mtawaona Wenger's teenagers walivyo kwenye form
 
...mimi nataka waje 100% perfect ili 'wanga wetu' kina Chelski na Manure wasipate visingizio oooh, mliwafunga kwakuwa, kwakuwa....

Hawa Barcelona wetu hawa,...mtashangaa wenyewe.
Am so happy na draw hii!...

U might b happy on ur smilling face but something is burning u inside ...Polee wee wenzio wanaona kama vile wamepewa taarifa ya kifo
 
U might b happy on ur smilling face but something is burning u inside ...Polee wee wenzio wanaona kama vile wamepewa taarifa ya kifo

😀 ha ha haaa,
haya bana, maneno 1st Leg Emirates Stadium 31st March.
2nd Leg ndani ya Nou Camp...

My main worry tukishamalizana na hawa Barca, tutapangiwa na Inter Milan. Tutawafunga (Inter Milan) lakini 'joto la roho' mnhhh!

...mimi nataka waje 100% perfect ili 'wanga wetu' kina Chelski na Manure wasipate visingizio oooh, mliwafunga kwakuwa, kwakuwa....

Hawa Barcelona wetu hawa,...mtashangaa wenyewe.
Am so happy na draw hii!...

We waache tu, ndiyo hapo watakimbia jukwaa vijana watakapotinga kwenye Semifinals baada ya kuwafanya vibaya hao BARC. Nani alitegemea hawa wa Darajani watatolewe na BARC? Hawa ni wateja wetu tu aggregate Arsenal 5 BARC 2.
 
Duuh! Mwaka huu tutasikia mengi sana mpaka kufikia hii mechi, ni kama vile vijimambo mwaka wa uchaguzibongo! Huu uteja unaoongelea umeanza lini mkuu??!! Maana statistic zinaonyesha Arsenal hajawahi kuwafunga Barcelona, ni kipigo tu wamepokea Arsenal, sasa nani mteja hapo?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom