Ni white hat au black hat?Udukuzi wa fedha za kidigitali watokea nchi Japan.
Kiasi cha Tsh billion 232 zadukuliwa huu ni udukuzi
wa pili mkubwa kutokea ambapo wadukuzi walifanikiwa kuingia kwenye system hio ya kampuni ya LiquidGlobal
Aaanteni
ebu soma tena mada na ueleweHao walikuwa ethical/white hat uackers na walizirudisha mkuu
Nimesoma na nimeelewa na nakuelewesha kwamba Hao ni H white hat hacker ambao kazi yao kubwa ni kutafta matobo(vulnerability) kwenye system na kuziziba...kwaio ni kama hackers wengne ila walikuwa hawana lengo la kuiba pesa izo bali lengo ni kuonesha tu mfumo huo sio salama na pesa izo walizochukua walizirudishaebu soma tena mada na uelewe
kisha ndio ucomment
huu udukuzi wa pili sijasikia kama wamerudisha ebu tupe source iliyosema wamerudishaNimesoma na nimeelewa na nakuelewesha kwamba Hao ni H white hat hacker ambao kazi yao kubwa ni kutafta matobo(vulnerability) kwenye system na kuziziba...kwaio ni kama hackers wengne ila walikuwa hawana lengo la kuiba pesa izo bali lengo ni kuonesha tu mfumo huo sio salama na pesa izo walizochukua walizirudisha
haya poa kasome tena mada kisha edit COMMENT yako namba mbili sawaNimesoma na nimeelewa na nakuelewesha kwamba Hao ni H white hat hacker ambao kazi yao kubwa ni kutafta matobo(vulnerability) kwenye system na kuziziba...kwaio ni kama hackers wengne ila walikuwa hawana lengo la kuiba pesa izo bali lengo ni kuonesha tu mfumo huo sio salama na pesa izo walizochukua walizirudisha