Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Beeee...nimeitika
Unasema?
Beeee...nimeitika
Mimi mimi au!!mi nakumbuka kipindi kile ulivyokuwa unachanganywa na kina Remmy na Kipipi afu bado unafurahia, ndiyo kipindi hiko sasa
...utakuwa umenifananisha aiseeumejisahau mwenyewe?
Kwa habari za kidukuzi inaonyesha kuwa tokea siku nyingi.. 1999A.D
Ruttashobolwa na mkeo Paloma wanadukuana...
Kudukuliwa ndo nini wajameni?
Huu msamiati mpya kabisa kwangu!
cc Ruttashobolwa honey
naomba ukane hili shitaka kabla
sijashinda umiss,coz nikishinda sijui!!
eti babe Paloma hebu thibitisha!!
cc Ruttashobolwa honey
naomba ukane hili shitaka kabla
sijashinda umiss,coz nikishinda sijui!!
eti babe Paloma hebu thibitisha!!
hapo hata mimi napangoja...
Lady doctor hanidanganyi mimi hapa, ni kwamba anakuambia ukweli hapo! sosoliso sijui ni mwanaume gani huyu hadukui nje kabisa....mpaka mie nimlengeshe - ili afanane na wenzie!!!hebu wacha kumdanganya Paloma nitatoa siri ujue
Lady doctor hanidanganyi mimi hapa, ni kwamba anakuambia ukweli hapo! sosoliso sijui ni mwanaume gani huyu hadukui nje kabisa....mpaka mie nimlengeshe - ili afanane na wenzie!!!
nathibitisha kuwa Ruttashobolwa ni patna wangu katika kumwaga pombe za watu, hatujulikani ndo maana mshkaji akatoa singo!