Hahaahaa vipi upepo unaendaje?
Kuna watu wana hamu ya kukudukua ujue...
natizama tu yani!
naona watu wanataka kunipunguzia speed
Mkuu unaogopa sana kudukuliwa eeeh!!
hujambo?Kudukuliwa ndo nini wajameni?
Huu msamiati mpya kabisa kwangu!
Kudukuliwa ndo nini wajameni?
Huu msamiati mpya kabisa kwangu!