Udukuzi!!...ndani ya Chit Chat!

Udukuzi!!...ndani ya Chit Chat!

Kinachoniliza ni kitendo cha wewe kudukuliwa na kiwatengu.. kwanini..? Umekosa nini kwangu..? Mbona mie sidukui nje..? Au kwa vile umenikamata..?

hahahaaaaa babe sosoliso!!! pole sana! kiwatengu anakupa presha tu kama alivyokuwa shemeji saudari na wahasimu wako waleeee..........sasa mie ananidukuaje na hii:mimba: ya mapacha!! si ntawabemenda tangu tumboni! hahahahaaa kiwatengu mwenyewe yupo busy na kabebeshwa kazi ya kumkampenia shansarie akipromisiwa udukuzi after ze ushindi!

kalaghabaho bhabha
 
Last edited by a moderator:

Poa naomba basi umpigie kura yako!!
 
keshadukua sana baada ya ushindi ni kujipongeza tu
 
Last edited by a moderator:
Kinachoniliza ni kitendo cha wewe kudukuliwa na kiwatengu.. kwanini..? Umekosa nini kwangu..? Mbona mie sidukui nje..? Au kwa vile umenikamata..?

unalia kwa mkeo baada ya kukosa udukuzi ungepata ungelia hivyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom