Udukuzi!!...ndani ya Chit Chat!

Udukuzi!!...ndani ya Chit Chat!

Dada yangu wewe yule.. Hichi kinakutaka wewe tuu.. Bahati nzuri kiwatengu ameshatoa ruksa nikudukue..

hahahahahaha nilikuwa sijui kama sosoliso we ni mtupu hivi kwenye kutongoza, sasa Paloma ulimpataje?

mi ruhusa nimetoa wapi? kukuambia mkubaliane ndiyo ruhusa?
hahahahahahaha ushashindwa tayari kwa nje, inaonyesha kuwa hata udukuzi hautauweza hata kidogo!!!

ha ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:

Umeshatoa vitisho tena.. Vzuri kula na nduguyo kiwatengu na nduguyo ni mie humu..

cc shansarie..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom