Udukuzi!!...ndani ya Chit Chat!

Udukuzi!!...ndani ya Chit Chat!

Lady doctor hanidanganyi mimi hapa, ni kwamba anakuambia ukweli hapo! sosoliso sijui ni mwanaume gani huyu hadukui nje kabisa....mpaka mie nimlengeshe - ili afanane na wenzie!!!

si ninasikia kifanyio chake always kinasujudu chini hata kusifu hakiwezi akitoka nje si aibu?
 
Last edited by a moderator:
wee usisikie......mfate ujaribu! mbona kinafanya!
sema tu limbwata langu la kijeremani si mchezo!

Wewe Paloma wewe mbona wataka kunitilisha majaribuni..? Akija kweli jee huyo Lady doctor ili ajaribu utarusha ngumi..? Yaani waniuza hadharani babe lol..
 
Last edited by a moderator:
Wewe Paloma wewe mbona wataka kunitilisha majaribuni..? Akija kweli jee huyo Lady doctor ili ajaribu utarusha ngumi..? Yaani waniuza hadharani babe lol..

ndio eenh......wmache tu aje haswa huyu Lady doctor, we si unasema hudukui out?!?! kurusha ngumi au nini sjui hilo nitajua mimi wakati ukifika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom