DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza kuwapandishwa vyeo wahadhiri wake watatu kutoka cheo cha Mhadhiri hadi Mhadhiri Mwandamizi.
Waliopandishwa ni: Dk. Mamta T. Pandey – Idara ya Sosholojia na Anthropolojia (COSS), Dk. Teresia E. Nkya – Idara ya Vimelea na Parasitolojia, Chuo cha Mbeya cha Sayansi ya Afya (MCHAS) na Dk. Dotto P. Kuhenga – Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC).
Uongozi wa chuo umewapongeza kwa juhudi zao katika machapisho na ufundishaji, na kuwatakia mafanikio zaidi katika taaluma.