UDSM yawapandisha viwango wahadhiri watatu

UDSM yawapandisha viwango wahadhiri watatu

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza kuwapandishwa vyeo wahadhiri wake watatu kutoka cheo cha Mhadhiri hadi Mhadhiri Mwandamizi.

Waliopandishwa ni: Dk. Mamta T. Pandey – Idara ya Sosholojia na Anthropolojia (COSS), Dk. Teresia E. Nkya – Idara ya Vimelea na Parasitolojia, Chuo cha Mbeya cha Sayansi ya Afya (MCHAS) na Dk. Dotto P. Kuhenga – Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC).

Uongozi wa chuo umewapongeza kwa juhudi zao katika machapisho na ufundishaji, na kuwatakia mafanikio zaidi katika taaluma.
Senior Lecturers means what ? Associate Prof ?
 
Wataalam wa kugawa marks za chupi.
Mkeo akifanya master's kwenye vyuo vyetu uwe tu mpole especially kama ni kilaza.
 
Senior Lecturers means what ? Associate Prof ?
Tanzania tunaanzia na
Tutorial assistant
Assistant lecturer
Lecturer.....hawa ndio wabaya
Seniour lecturer
Associate professor
Professor.....hawa ni wazee navheshma zao
 
Tanzania tunaanzia na
Tutorial assistant
Assistant lecturer
Lecturer.....hawa ndio wabaya
Seniour lecturer
Associate professor
Professor.....hawa ni wazee navheshma zao
Basiii sawaa safari bado kidogooo kuwa Associate Prof
 
Hapo wote sasahivi wanawaza teuzi tu.
 
Wametoa msaada gani kwenye jamii.
Mambo hayo hayana mpango siku hizi.
Vitu vingine ni nosense. Siku nyingine lete habari ya kutandaza mabomba ya maji mpigi majohe
Wataalamu waliojaa maofisini na mitaani walijifunza kwa mama zao si zao la walimu? Wewe mwenyewe walimu hawajakusaidia chochote? Kusoma na kuandika ulifunzwa nyumbani na mama yako au?
 
Back
Top Bottom