UDSM yaongoza kwa ubora A.M

Kenya inapotoa vyuo 5 na tz inatoa 1,udsm ni ya 23 africa mhhhhhhhhhhhhh
 
Hivi vigezo ni nini? Labda ina rank hio namba kwa kudesa na kutunga mitihani ya multiple choices
 
ukweli utabaki kua ukweli UDSM ni chuo bora kuliko chochote kile TZ.
SAUT nadhani wa mwisho manake output yake duuuuuuuuuuuu, difficult to elaborate----
na walimu wa pale duuuuuuuuuuu..........................
SAUT WANASHUSHA HADHI ZA Graduates hapa nchini.....SAMAHANI KWA WALE NITAKAO WAUDHI

Eti eeeeeee!!!
 
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika namba 11 Afrika, ikiwa namba 1 Afrika Mashariki, huki Nairobi kikishika namba 14 au namba 2 A.M. Zaidi fungua link2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa

The aim of this website is to provide an approximate popularity ranking of world Universities and Colleges based upon the popularity of their websites. This is intended to help international students and academic staff to understand how popular a specific University/College is in a foreign country.


The 4icu.org do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting an higher education organization where to study.
 
tanzania kweli elimu bado! Sasa kama udsm ndo ivi! Embu angalieni viongozi wa nchi wanaotolewa na hicho chuo wanachokifanya! Embu angalia hata walimu wake wengine wametimuliwa un wanasingizia kuisha kwa muda! Hao wakurugezi wa maofisi waliotolewa na hichi chuo ndo kwanza wanaishia kusimamishwa kwa wizi tu! Ndo mana wadhungu wanakwambia age is nothing but a number, so iyo rank kwa udsm ni uchafu tu! Mana kama wao ndo no1 tulitegemea kupata maendeleo kutokana na product ya hiki chuo, sasa zaidi zaidi tunaambulia mafisadi na wengine machui waliojivika ngozi za kondoo! Poor university.

umejieleza vizuri sana,hakuna sababu ya kuisifu udsm,product yake inatesa nchi kwa wizi nadhani huwa ni chuo cha kufundisha mbinu za wizi
 
Udsm kitu gn,kilikuwa kinatesa zaman tu but now days hakuna kitu hapo,afteral sion sbb ya kukisifia sn kwsbb product zake ndo zimetufikisha hapa tulipo,50 yrs ya uhuru bado twatembea kwa barabara za vumbi na viongoz ndo wametoka hapohapo udsm kinachosifiwa hapa.
 
Ukweli wa mambo ni kwamba UDSM ni chuo cha kichovu na haina maana mtu uki point out uchovu wake basi ulikosa alama zinazokidhi udahili wa hapo.

Wapo watu ambao hata hawakuwa na mpango wa kwenda kusoma hapo licha ya kukidhi vigezo vyote.

reality unaijua lakini mzee.... labda nawe pia ulikosa marks!
 
Nadhani watu wana comment title, hawajui hata kilichoandikwa humo.. Hizo rank zinaonyesha POPULARITY ya vyuo na sio issue ya ACCADEMICS ranking..
 
Udsm kitu gn,kilikuwa kinatesa zaman tu but now days hakuna kitu hapo,afteral sion sbb ya kukisifia sn kwsbb product zake ndo zimetufikisha hapa tulipo,50 yrs ya uhuru bado twatembea kwa barabara za vumbi na viongoz ndo wametoka hapohapo udsm kinachosifiwa hapa.

kwahiyo wewe unahisi ni chuo gani bora tz kushinda vingine
 
Katufu UDSM itakuja haribiwa na general selection ya TCU, Wahadhiri wawe ngangari ili kuchuja pumba na mchele maana wanafunzi wengi kutoka Yeboyebo ni vilaza sana tofauti na awali ambap chuo kilikuwa kinachukua best of the best students.

Hivi Dr. Osoro wa Economics Department bado yupo? Alishaacha kukamata vilaza?
 
SUA ni namba moja tz UDSM ni porojo za kujitangaza kama ni elimu kwa umma SUA ilishakuwa na tv cku nyingi na ina research centres sehemu nyingi kwa msaada wa JICA na wana programmu nyingi zinazowagusa direct wananchi vijijini mfano ni SUA Centre for Sustainable Rural Development....SUA is the best in country
 
Hahahahaa...eti vikwapa!

Hivi umefika hapo Mlimani hivi karibuni? Vyumba vya madarasa pamoja ofisi za walimu ziko kwenye hali mbaya sana.

Majuzi tu hapa nilienda kwenye jengo la idara ya Historia nikasikitika sana. Kwanza ukiingia tu unakumbana na harufu mbaya ya chooni. Halafu kwa ujumla tu hali ya jengo na ofisi zake ni mbaya.

Nkrumah Hall na yenyewe imechoka vibaya mno. Dorms ndiyo balaa. Yale majengo marefu moja sijui linaitwa Hall 4 lile...ipo siku yataanguka na kuua watu.

from academic to social/living standards, UDSM=growing hell
 
suala la kutoa mafisadi halina mashiko coz kuna makamanda wa kupambana na ufisadi wengi tu wamepikwa udsm, sijui hilo mtalisemeaje.
Tatizo letu tumezoea kuponda hata visivyo stahili.
 
umejieleza vizuri sana,hakuna sababu ya kuisifu udsm,product yake inatesa nchi kwa wizi nadhani huwa ni chuo cha kufundisha mbinu za wizi

nakumbuka nilipokuwa level za chini kielimu nilikuwa nikisikia chuo mnafundishwa jinsi ya kuiba! kuongeza sifuri mbele, by that time nlikuwa nakijua udsm tu! kumbe kweli bana
 
Back
Top Bottom