UDSM tupunguzeni masifa sasa

Hyo ulisahau ww ndo maana hadi leo unakumbuka hyo event sasa wenzio UDSM, MUCE n. k ni sehemu ya basic needs. Kila anapokuwepo ni lazima avae ID shingon
hahahah
 
Wengine wapuuzi.... Kweli mara kupost shule ngumu.... Mara test tyt..... Selfie kibaoo..... Mbona MUHAS..SUA...BUGANDO coz tyt hawana hizo..
 
Wengine wapuuzi.... Kweli mara kupost shule ngumu.... Mara test tyt..... Selfie kibaoo..... Mbona MUHAS..SUA...BUGANDO coz tyt hawana hizo..
umesema aiseee mbona vyu vingne wametulia tuuu
 
Umri wao unaruhusu waache wazivae wakisha graduate watazisahau na kuanza kulaumu maisha magumu
 
Hakuna point ! Kama kweli unasoma udsm , ungejua sababu kwanini wengi wao wanasahau , we ni hater tu wa udsm ....utaumia sana..
 
Hakuna point ! Kama kweli unasoma udsm , ungejua sababu kwanini wengi wao wanasahau , we ni hater tu wa udsm ....utaumia sana..
mimi ni mwana udsm ila ukweli ubaki kuwa ukweli UDSM tuna sifa ya kujiona yaaan hata ukibisha ndo ukweli huo hamna cha kusahau wala nn weng ni ile aonekane anasoma udsm, siezi taja meng hapa kuwa udsm tunajiona kwa lipi ila yako meng sana wakat sijafikaga udsm nilikuwa nayaskia ila nilipochaguliwa nikaona vijana weng wanapenda masifa bila kuangalia maisha yapo baada ya chuo
 
Hyo ulisahau ww ndo maana hadi leo unakumbuka hyo event sasa wenzio UDSM, MUCE n. k ni sehemu ya basic needs. Kila anapokuwepo ni lazima avae ID shingon
Huo utaratibu nadhani upo strictly mlimani, ukienda duce hukuti wanafunz na Ids shingoni.
 
Huo utaratibu nadhani upo strictly mlimani, ukienda duce hukuti wanafunz na Ids shingoni.
hamna lolote getini wanasumbuana na walinzi hawajavaa ila wakitoka njee ya chuo wanazo weng wamegeuza sehem za mauzo sio sehem yake usika wanajidai kusahau ila asilimia kubwa ni ya kuuzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…