Hawa ndugu zetu wa UDSM hawajaandika "very executive homes" wameandika "very executive houses".
oh, you are?I am aware of "executive housing"
sasa sijui hizi room zina execute nini ?
student suites can't be labeled "homes." Watch context, couldn't have used "homes" there, they are not selling residential units for student families.
oh, you are?
i'm just going by the glaring gaffe from an editorial help you offered UDSM.
JF admin is going to 've to officially distance itself from this authority, it's casting the board in bad light
"very executive rooms" duuh, sasa sijui hizi room zina execute nini ?
Hao ndo wasomi wa UDSM!
Mkuu Kiranga,
Shukrani sana kwa masahihisho................ninashangaa watu wanapokuja kusema eti......masahihsho uliyotoa hayana msaada wowote kwa wahusika.........uungwana ni kukubali kuwa kuna baadhi ya mambo hujui na hivyo unakubali kurekebishwa............
Kinachoshangaza wengi wetu hapa ni hao waungwana wa "Chuo Kikuu"..........hawafanyi hata homework kidogo tu (very basic) ya kuhakiki walichoandika kama kina make sense............damn!
I hear you man.
Najua alma mater ni alma mater na mara nyingine ni uchungu kuona inakuwa trashed like that.
Lakini kama wanachemka tusiseme ukweli ? Hili tatizo ni kubwa zaidi ya kiingereza, hapa tunaona swala la kufumbia macho makosa kwa sababu ya uzalendo, kuna swala la kuhakiki na proofreading, umakini, tunarudi kule kule kwenye yule mhasibu wa TBL na ile cheki ya "4,800,000" aliyoiboronga katika kuandika maneno, muhasibu mwenye uwezo wa kua uthorise that much money hajui kuandika in words.
Mediocrity everywhere.Mimi nilivyokuwa naanza career yangu nilishawahi kufanya kazi za website updates na org moja ndogo tu nje ya nchi, jamaa walikuwa wako anal kichizi, ukikosea sehemu ya kuweka comma kuna mtu ataproofread na kukwambia, hawa watu walikuwa wanajua kwamba kuna watu wana form idea ya intelligence level ya organization nzima kutokana na inavyojionyesha katika website.
Inawezekana UDSM sio pabaya kama panavyoonyeshwa na hii joke (although I am given no reason to believe that), lakini the fact kwamba this made it to the site, no proofreading, na mpaka sasa tunavyoi murder machete hakuna mtu aliyebadilisha kitu inakuonyesha kwamba hamna system ya usomi hapo.
spelling bee cant spell "island"Halafu unapoandika "add" ndiyo kabisaaa unanionyesha kwamba wewe na huyo muandishi wa UDSM hamchekani
UDSM will be ill-advised to follow the foregoing editskutoka Fiji Isslands huko
youve brought discredit to the cachet of the forum"very executive rooms" duuh, sasa sijui hizi room zina execute nini
Wewe kubali umekunywa maji ya kisima kichafu, sasa unatetea uharo hapa.first the issue was about what the rooms were "executing"... soon the problem changed to the use of "very executive" ...then it became one "executive house" vs. "executive home." Get your tainted lecture straight before you can editorialize on UDSM's syntax and semanticsspelling bee can't spell "island" UDSM will be ill-advised to follow the foregoing editsyou've brought discredit to the cachet of the forum
Inawezekana ni makosa ya webmaster, huenda aliandikiwa vizuri yeye akatype anavyoelewa. Na kama mjuavyo, webmasters/system administrators wetu walishayadharau masomo ya arts tangu sekondari, na matokeo yake ni kutoijua lugha (hata Kiswahili) kwa ufasaha!
For real ?
Housing & Dining
Hii "well mannered accommodation services" inaweza kabisa kuwa Churchillian diction, although I doubt mtu anayeandika " we also runs well habitable" anaelewa Churchillian. I can understand " we have well mannered staff" lakini "well mannered accommodation services ?" that's a stretch, ina maana accommodation services zao zina manners ? I have seen well mannered dogs, well mannered children, well mannered women, but I have never seen well mannered services, like I said, this could be some extra posh Churchillian diction, but I doubt it.
Halafu katika proper english, ukitaka kusema ndani na nje unaweza kusema within and without, inside and outside au in and out of, huwezi kuandika "within and out of the university premises" utaonekana lugha haipandi. I know ukisema "without" unaweza kuwa interpreted kama unamaanisha "excluding" but that is the logic (or illogic, as Geroge Bernard Shaw, that useful idiot would have it, of some Dickensian twists )
I'm not gonna split hairs, I will cut them some slack.
The word student is redundant
We assist in facilitating contractual arrangements between students and residential facility owners.
Or if the emphasis is on assistance to students only
We assist students in facilitating contractual arrangements with residential facility owners
The infamous "runs" alongside "very executive rooms" and "affordable price" to top it off as the icing on the cake.
We encourage students to be responsible for their dorm keys
We encourage students to be responsible for their budgets
We encourage students to be responsible for the management of their college life
We encourage students to be responsible in their college life
We encourage students to be responsible during their college life
Too many facilities can confuse a student mother, how about "day care programmes" to remove the possible confusion of the multiple facilitating facilities ?
Dining/Catering
Private people, everybody is a private person at some level, who are these private people ?
What exactly is "cleanliness of food dispensing" ? direct translation from swahili perhaps ?
What exactly is "campus better life"? another dilapidated sentense? writing in english but thinking in Swahili ?
Shouldn't it be" .... for a better campus life"?
"very executive rooms" duuh, sasa sijui hizi room zina execute nini ?
Hao ndo wasomi wa UDSM!
Kazi zinapatikana siyo kwa vile unajua kazi bali unamjua nani!Kwa hiyo ina maana wasomi waliobaki hawana uwezo au?
Inawezekana ni makosa ya webmaster, huenda aliandikiwa vizuri yeye akatype anavyoelewa. Na kama mjuavyo, webmasters/system administrators wetu walishayadharau masomo ya arts tangu sekondari, na matokeo yake ni kutoijua lugha (hata Kiswahili) kwa ufasaha!