UDSM - This is not a good look!!!

I guess proof reading is something no one cares in Bongo, just have a look on papers tena hasa za kiswahili!!!!!

Tunakosea hata kwenye cheques...no proof reading halafu check hiyo anapewa Rais...naye hafanyi proof reading wala wasaidizi wake...sijui akisign death warrants anafanyaje...usije kuta innocent ones wananyongwa
 
Housing & Dining
images

Housing
We have limited but well mannered accommodation services within and out of the University premises. International students are served with decent and reasonably priced housing facilities.

  • We assist students in facilitating contractual arrangements between students and residential facility owners
  • We also runs well habitable apartments with very executive rooms at affordable price
  • We encourage students to be responsible for their college life
  • The facilitation for the establishment of day care facilities for student mothers and nursing ones is underway.
Dining/Catering
The service is provided by the private people in collaboration with the University Management

  • We encourage user-friendly catering services
  • We enforce cleanliness of food dispensing and other related hygienic environment on campus
  • We constantly review and update catering services for campus better life
Source:UDSM - Campus life - Housing & Dining

Ila kwa hili nadhani limefanywa na watu wa Estates(clerks) na sio academicians(professors)...
 
So Nyambala,

Do you still think it is just a typo ?

Hiki ni Chuo Kikuu au Choo Kikuu ?

Its obvoius, now its CHOO KIKUU, choo comes in choo graduates out!
Makes me sick to think that I was around there several decades ago, the academic wear and tear is just too pitiful!
 
Inawezekana ni makosa ya webmaster, huenda aliandikiwa vizuri yeye akatype anavyoelewa. Na kama mjuavyo, webmasters/system administrators wetu walishayadharau masomo ya arts tangu sekondari, na matokeo yake ni kutoijua lugha (hata Kiswahili) kwa ufasaha!

Quite possible,

Lakini hii haiondoi ukweli kwamba UDSM hawana proofreading. Mpaka leo madudu haya yapo na hakuna aliye note.

Wakati wenzetu wanajua web presence ni nini, na first impression ni nini. Hata vyuo vya vichochoroni na vi foundation vya mom and pops.

Ila kwa hili nadhani limefanywa na watu wa Estates(clerks) na sio academicians(professors)...

Maprof. hawana muda wa ku proofread kama mnavyo fikiri, mambo ya housing yanasimamiwa na watu wadogo tu wa estates USAB + system administrators.
kuna vitu vingi kwenye website ya chuo ambavyo vinalalamikiwa mara kwa mara ila ni kwamba ma system admn. ndiyo wasimamiaji wakubwa na ndiyo hivyo wanachemsha sana kwani elimu yao si ya lugha zaidi. hii ni changamoto kwa chuo
 
The service is provided by the private people in collaboration with the University Management[/SIZE] THE PRIVATE PEOPLE? We constantly review and update catering services for campus better life [/QUOTE] should be FOR BETTER CUMPUS LIFE.
 
Maprof. hawana muda wa ku proofread kama mnavyo fikiri, mambo ya housing yanasimamiwa na watu wadogo tu wa estates USAB + system administrators.
kuna vitu vingi kwenye website ya chuo ambavyo vinalalamikiwa mara kwa mara ila ni kwamba ma system admn. ndiyo wasimamiaji wakubwa na ndiyo hivyo wanachemsha sana kwani elimu yao si ya lugha zaidi. hii ni changamoto kwa chuo

At the end of the day, UDSM nzima inaonekana ovyo.

Hakuna ufuatiliaji, watu hawaelewi umuhimu wa image, inawezekana kweli ni System Admins hao (hata SA wa Chuo anatakiwa kujua kiingereza) lakini SA akishindwa kazi na hakuna wa kumuambia inaonekana hata wa juu yake naye hajui kufuatilia.

Na hiki kitu kipo kwa muda sasa, inaonekana tushajizoelea hii "pidgin english" kama alivyosema rafiki yangu Mchungu-Zii
 
This is very helpful, sio tu kwa wanachuo but to all of us who are struggling with the language of the whiteman. Je kuna namna yoyote ile ya kumtumia huu ujumbe prof Mkandara? hoping that he cares, ama huyo head wa kitengo hicho nadhani itakua na office of the dean of Students. Lakini ndugu zangu haya ndio yanayotufanya tuwe hapa tulipo. Kila mtu duniani anajua hatujui kiingereza kibaya ni kwamba hawa wapumbavu waliopewa majukumu ya kuweza kubadilisha hiyo dhana, ni vipofu wakubwa kuliko. Na kubali ni CHOO KIKUU na sijui kama haya ndio ya Mlimani, hivyo vyuo vingine vinavyoshamiri kama uyoga vyenye wanafunzi wanaoomba kushiriki kampeni za CCM kukoje, maana hilo tu linatosha kukuonyesha ni quality gani ya wanafunzi waliojaa huko. SAD nakubaliana na kuwapongeza wenzetu waliokimbilia vyuo vya OBAMA, labda nyie mtatuuza huko hawa huku ni takataka, walimu wenyewe ukiwasikia utatamani kuwaomba wanyamaze,

Wee thubutu! Hatakujibu! Ila baada ya wiki mbili tatu, utasikia kuna workshop kwa viongozi wote jinsi ya kuedit press release! waulizeni majirani zao hapo Udongo(aru)
 
Hii inaakisi jinsi gani kama jamii kwa ujumla tusivyojali umakini hata kwenye vitu vidogo vidogo. Sasa mambo makubwa tutayaweza kweli? Hivi kweli wanaweza kuendesha kwa mfano vinu vya kuzalia nguvu za nyuklia hawa? Na hili suala wala sio dogo kihivyo kwa sababu lina reflect vibaya kwa chuo kizima.

Hiki ndio chuo chetu tunachotakiwa kujivunia. Ndio Harvard na Oxford yetu lakini vitu vidogo kama makosa ya sarufi tunashindwa hata kuyarekebisha. Sitashangaa kabisa kama hapo UDSM hakuna mtu hata mmoja anayejua. Kama wapo wanaojua lakini mpaka hivi sasa hakuna masahihisho yaliyofanywa basi nitashangaa maradufu zaidi.
 
Nyabu, inabidi nikuondelee shaka, wapo wapo tena wazuri tu wanaojulikana, tunawafahamu hata kwa majina, na ni wengi, shida utawala hawawaumii, wanawaamini(trust) watu wao, mnashangaa hii, inapokaribia graduation au kama wana kongomano pale mlimani wewe jaribu kusoma yale matambara wanayoyaandika, utaumia roho! Halafu sio mara moja wameambiwa, wakiambiwa hukimbilia kufanya warsha, ni namna ya kuishi ndugu yangu...
 
Kuna muandishi mmoja wa Ghana, katika kuchunguza swala la umaskini wa Afrika, wakati World Bank na IMF zilipokuwa zinatoa sana "Structural Adjustment Programmes" aliwahi kusema " Africa does not need Structural Adjustment Programmes, what Africa need is Cultural Adjustment Programmes". Nikiangalia hili katika issue kama hii naweza kukubaliana naye, yaani wajuzi wapo lakini hatuna utamaduni wa kufuatilia mambo na kuhakikisha kila kitu kiko sawa, no quality assesment, no maintenance, no follow up, ilimradi kila mtu anachukua chake mapema na kukimbia tu.
 
... Ndio Harvard na Oxford yetu lakini vitu vidogo
its about the only one you've had, you can't have the Harvard's and the Oxford's if you don't have the Howard's and the NYU's, what are you ranking it against, CCM Kivukoni College?

comparison outta context
 
its about the only one you've had, you can't have the harvard's and the oxford's if you don't have the howard's and the nyu's, what are you ranking it against, ccm kivukoni college?

Comparison outta context

udom....
 
the thing isn't even open for business yet, this is what they offer, as per their web on academic section:

The University Of Dodoma

COLLEGES AND SCHOOLS:

The University has been designed on a campus college mode each of which will be semi autonomous. In its structure, six colleges are envisaged when the university is fully established by 2012/13. These are:

* College of Education
* College fo Hummanities and Social Sciences
* College of Informatics and Virtual Education
* College of Natural Sciences and Mathematics
* College of Health and Allied Sciences
* College of Earth Sciences

so is there any course running yet?
 
Obviously you ignored the part in blue [six colleges are envisaged when the university is fully established by 2012/13.]
 
Hata hawa UDOM nao wameanza kwa kuchemsha. Cheki hii:

ESTABLISHMENT:
The University of Dodoma was formaly established in March 2007 following the signing of the charter by the president of United republic of Tanzania. The first academic programmes commenced in september 2007.

http://www.udom.ac.tz/The%20Univesity/profile.php
 
Cheki ingine hii:

The University has been designed on a campus college mode each of which will be semi autonomous. In its structure, six colleges are envisaged when the university if fully established by 2012/13. There are:

  • College of Education
  • College fo Hummanities and Social Sciences
  • College of Informatics and Virtual Education
  • College of Natural Sciences and Mathematics
  • College of Health and Allied Sciences
  • College of Earth Sciences
"They are" instead of "There are"

Instead of "if" (in blue) it should be "is"....

Lol
 
Obviously you ignored the part in blue [six colleges are envisaged when the university is fully established by 2012/13.]
that's why I said the thing is not open for business yet. are we in 2013 already?

First thing u do if u wanna go to a college is check what programs they 've, this here talks about schools they're thinking of launching (envisage) much like Zanzibar envisaging enrichment thru oil, pipe dream, dig?
 
Fully established by 2012/13 means partly established as of 2010, right?
 
Cheki ingine hii:

The University has been designed on a campus college mode each of which will be semi autonomous. In its structure, six colleges are envisaged when the university if fully established by 2012/13. There are:

  • College of Education
  • College fo Hummanities and Social Sciences
  • College of Informatics and Virtual Education
  • College of Natural Sciences and Mathematics
  • College of Health and Allied Sciences
  • College of Earth Sciences
"They are" instead of "There are"

Instead of "if" (in blue) it should be "is"....

Lol

It would've been funny if it wasn't so serious an issue.
 
It would've been funny if it wasn't so serious an issue.

I know ....I know but I couldn't help it....

I mean what are these people thinking...or what is it? Is it that they don't know or they just don't proof read what they put out?
 
Back
Top Bottom