UDSM - This is not a good look!!!

Fully established by 2012/13 means partly established as of 2010, right?
may be, may be not. Granted that it means it's partly established and now I want to apply to that college, which departments are operational among the partly established? How you figure?
 
may be, may be not. Granted that it means it's partly established and now I want to apply to that college, which departments are operational among the partly established? How you figure?

That's when you pick up the phone and give them a call and let them know that the information on their website is insufficient. After doing that you ask them which departments are operational.
 
That's when you pick up the phone and give them a call and let them know that the information on their website is insufficient. After doing that you ask them which departments are operational.
if the darn college is such cheesy their operator probably won't know who would know

we've had just about one college all along
 
Wabeba box mnatusumbua! Kama mnataka kuandika vizungu vyenu hivyo vya kunyosha na ruler anzisheni real estates zenu, tena hizo sentence mzipake na mafuta zing'ae na kumeremeta! Oooh wamechemka wamechemka! so what maisha yataishia hapo! Mbona wakenya wakionge kiswahili kibovu au wakiandika kiswahili kibovu hamsemi! Punde mtu akigusa tu kingereza ataitwa majina yote mara juha, mara kihiyo, nk. Kwa sababu vichwa vyenu vimejaa ulimbukeni na ushamba eti kwamba English ndio imekuwa kipimo cha usomi!
English sio mother tongue na ninayo haki ya msingi kuivuruga na kuongea kadri ninavyoweza ili mradi ninaeleweka and you have no right to point your mf finger on my sentences.
Haa mitanzaia Bwana!
 
Haya ndiyo matatizo yetu, watu wakikosoa basi hatutaki kuambiwa. Hapa watu hawajamkosoa mtu wa kawaida, hii ni tovuti ya Chuo Kikuu Cha Dar.

Zaidi ya hapo, mtu akishataka kujishaua kuandika lugha asiyoijua vizuri na kuboronga, watu wana haki ya kumsahihisha kama kakosea. Hao Wakenya wanaokosea Kiswahili nao wanakosolewa tu, na hata wasipokosolewa, two wrongs do not make a right.

Kati ya sisi tunaotetea watu kuandika lugha sahih, na hao wasiojua Kiingereza lakini wanaong'ang'ania kuandika kwa Kiingereza nani limbukeni ? Mimi ninavyojua limbukeni ni mtu anayelimbuka, na hapa kujitia kuandika Kiingereza bila kutafuta msaada wakati watu hawakijui ndiko kulimbuka kwenyewe.Sasa usije kuwasema watu wanaowamulika malimbukeni kwamba ndio malimbukeni, na wewe utakuwa limbukeni unayelimbukia topic ya ulimbukeni bila kuielewa vizuri.

Kama kiingereza sio mother tongue msiandike kwa kiingereza basi, au mkiandika ombeni msaada, sio kuandika Kiingereza fyongo halafu mkiambiwa mnakuwa wakali eti "English is not our mother tongue", huwezi kusema "ili mradi naeleweka" wakati unatumia kiingereza kibovu, kiingereza kibovu kinafanya kueleweka kwako kuwe kugumu na wengine watashindwa kabisa kueleweka.
 
? Mimi ninavyojua limbukeni ni mtu anayelimbuka, na hapa kujitia kuandika Kiingereza bila kutafuta msaada wakati watu hawakijui ndiko kulimbuka kwenyewe..
Mhh! That is weird definition ya ulimbukeni! Kwako wewe limbukeni ni yule tu anayejitia kuandika kiingereza bila kutafuta msaada! Kiswahili vuruga unavyotaka. Typical Mbongo! Na siendelei tena naomba niishie hapa!
 
Jamani nyie waingereza, mnafanya nini kwenye forum yetu???
Hawa ni wanafunzi, bado wanasoma, na pamoja na mengine hata makosa yanatakiwa, kama wangekuwa wanajia wangeenda shule/chuo?
vijana wadogo zetu, wala msikate tamaa, hawa negative people ni watu waliokata tamaa na maisha, wanavizia sehemu za kujiliwaza kuwa kunaa wanzao kama wao waliofeli (sio lazima kiuchumi). Endeleeni kujifunza, pamoja na lugha mbalimbali ikiwamo kiswahili na kiingereza, ila msiishie hapo jifunzeni na fani muhimu kimaisha ikiwapo mawasiliano ya kujengana.

Back to topic
Nadhani huu ni mradi nje ya wanafunzi, au ni biashara ya wanafunzi?
 
Hata mimi niliona pg moja ya kikao cha faculty of Arts and social science, kulikuwa na makosa mengi ya spelling. Ni vema wakawa na proof reading team, hii ni aibu kwa taasis kama hii.
 
Back
Top Bottom