UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

jman hayo majina yanapatikana wap? Na mm naombeni msaada kuniangaliza rajabu mbwana katk vyuo vya duce, muce na udsm namba ni P0798/0557/2015
 
Hello!
Nauliza kwenye hili swala , ikuwa vipi majina ya walichaguliwa siku mbili tunaambiwa yako hapa jamiiforum. lakin kwenye official website ya chuoo hakuna habari kama hii?. let be professional. i think kati ya Hapa au Udsm kuna tatizo and not good for the brand.
asante.

hapa jf majina huwa yanatangulia
 
Back
Top Bottom