Habari ya mda huu!
Kutokana na maswali yenu mliyo yauliza kuwa haya majina nimeyapata wapi iko hiv! Me nimetumiwa kwa email na email iliyonitumia sihifahamu! Ikiwa na hiyo heading niliyo weka kwenye uzi huu! Binafsi nimeangalia kwenye website ya chuo cjaona habari yoyote kuhusu haya majina!
Nimemuuliza email yangu ametoa wapi na haya majina ameyatoa wapi haja reply till now Nimeamini kama niyenyewe baada kumuona one of my friend amechaguliwa kozi aliyo omba udsm ndio maana nikaamua ku share na nyinyi watu wangu wa nguvu!
Nawasilisha!
naomba unichekie s0811/0536/2015