UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Hivi Udsm Wakishatoa Ina Maana Vyuo Vishiriki vya Udsm Kama Muce Na Duce Na Vyenyewe Vitakuwa Humo humo au Kila Chuo hapo Kina Utaratibu Wake? Msaada Please
 
yah UDSM wakitoa wanatoa mpaka branch zao..mimi nimeshachaguliwa DUCE
 
wandugu msaada hii namba S0338/0834/2015...alichagua UDSM na DUCE
 
guyz me cjapata kuona mbna majina hayoooo,,,,,hav tried harder vmpk ktk webya chuo,,,,your help plz
 
Back
Top Bottom