UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Hongereni vijana karibuni home of intellectuals udsm I love my college
Wale wa coet mnaweza ni pm nikawapa abc kidogo za pale na ushauri
 
Wakuu wale wenye wasiwasi udsm chuo chenyewe kimeshatoa majina fungua mtandao udsm.co.tz halafu fungua andergraduate admission 2015/2016
 
Walio download majina ya muce,na duce naombeni mnitupie kwenye hii email yangu pliiiz.issahamisi42@yahoo.com.Naombeni Msaada wenu tafadhali
 
wakuu nasikia DUCE kuna sheria kali, Je ni kweli anaefaham plz kama hujui usijibu
 
Back
Top Bottom