UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Hello!
Nauliza kwenye hili swala , ikuwa vipi majina ya walichaguliwa siku mbili tunaambiwa yako hapa jamiiforum. lakin kwenye official website ya chuoo hakuna habari kama hii?. let be professional. i think kati ya Hapa au Udsm kuna tatizo and not good for the brand.
asante.
 
Jamani nauliza ivi udsm mwaka mwanzo upo uwezekano wa wanafunzi wote kukaa hostel au inakuaje taratibu zao
 
Kwa taarifa nilizonazo kuna ukarabati unaendelea kwenye moja ya majengo ya hostel soo uwezakano wa wanafunzi wote kupata haupooo.. Andaa pesaa vyumbaa vinauzwa vingii...
 
Iweje majina ya selection yawepo jamii forums na c katika official website ya chuo? Au yamepatikana vipi?
 
Hello!
Nauliza kwenye hili swala , ikuwa vipi majina ya walichaguliwa siku mbili tunaambiwa yako hapa jamiiforum. lakin kwenye official website ya chuoo hakuna habari kama hii?. let be professional. i think kati ya Hapa au Udsm kuna tatizo and not good for the brand.
asante.

hukuangalia vizuri... Majina yalikuwepo! Huwezi pata majina ya UDSM bila wao kuyatoa!!
 
Haya muende mkanunue subwoofer, iphone, android, mademu nao wajifunze kuvaa suruali na skin jeans. muende mliman city mkale bata pesa zikiisha muanze kula RB!!! baada bata mrudi muanze kusoma afu mwisho wa siku wale kichwa mseme maticha wa noko!!​

mleta thread weka doument ako kwene pdf basi maana inasumbua kufunguka
 
haya majina mbona kuna mengine yameandikwa remarks 'do not admit' ni yenyewe kweli!
 
Back
Top Bottom