UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

Hiyo phd aliyopewa imekuadhiri ktk maisha yako. Acha wivu wewe!
sina wivu hata kidogo ndugu, kwa sasa nnapiga masterz ya sheria so i hop kabla cjafika miaka30 ntakuwa na phd ila cjapenda mtu kupewa heshima hiyo kirahisi.
 
Acheni wivu. Wasomi wamekaa chini wakamtathmini, anafaa.

Tatizo nyie mnaongozwa na fikra za kishabiki, ''hamuwezi kuuona ukweli".
nnawasiwac unaendeshwa na umri! Je ukwel upo wap? Sio ushabik lkn hauitaj hata certificate kujua utendaji wa jk. Ningependa tuonane mzee.
 
hizi PhD ingekuwa bora wakupe wewe mwenye uwezo wa ku cram misamiati ya ki English
His Phds would have been treasurable if he could have been able to apply them into solving his country's quandaries. Unsurprisingly he is just flaunting them and probably help him with getting more courtesans with easiness.
 
His Phds would have been treasurable if he could have been able to apply them into solving his country's quandaries. Unsurprisingly he is just flaunting them and probably help him with getting more courtesans with easiness.

ni wewe kweli mwita,,, ????,,, kweli kama ni wewe, gamba umelivua kisawasawa
 
Simulaumu yeye lakini waliokaa na kufikiria kumpa hiyo PhD.Naomba niweke pembeni u-great thinker wangu ni niseme kwamba pale mlimani kuna wash*nzi tu ndo wanaokiongoza hcho chuo.
Inauma sana kama sisi wengne tunazisotea hzo phD,hatulali tunahangaika huku huku na wanaotufanyia hvyo ndo wanaogawa phD kwa boguses kama hao.Huu ni ujinga

Acha uvivu wa kufikiri ww dogo, ukitukana mlimani unatugusa wengi au kw kuw hukupata nafasi ya kusoma pale? phd ya kikwete inakuhusu nn anak
 
Ni Rais pekee aliyepewa PhD tano ndani ya muda mfupi , ni mtu wa kwanza kupata Doctor of Laws Udsm. Je, anastahili? Mimi sioni kama anastahili, namwona kama rais dhaifu kabisa katika historia ya nchi. Kumpa PhD ni kudunisha PhD hizo
 
Zinatolewa kama njugu!!inamaana value yake ni 0% ndomaana zinatolewa kwayeyote ulishasika za Harvard zinatolewa hivyo??au ni za OPEN??
 
wacha wampe kwani anazitanyia nini? atazitumia kuombea kazi ya ulecture baada ya uraisi?
 
hivi naomba mnisaidie katika kupewa hizi Phd za njugu huwa wanatumia vigezo gani exactly? Maana there is really no point of wasting time in school if i caN instead build my criteria from day one. Seriously huwa wanaangalia nini kugawa hizo phd za honors?
 
Did a little surfing to find out exactly why ana hizi honorary doctorates, kinda confused....iweje ana hizo doctorate mbili za law? maana naona kashapewa tayari. oh well...ndo anazo sasa......hongera zake.

  • Honorary doctorate degree in Law
Rev. Dennis Dease, University of St. Thomas (Minnesota)September 2006in recognition of his dedicated public service[SUP][8][/SUP]

Dr Harris Mule, Kenyatta UniversityDecember 2008in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa[SUP][9][/SUP]

  • Honorary doctorate in the science field of International Relations
Prof Şerif Ali Tekalan, Fatih UniversityFebruary 2010for promoting international relations between Turkey and Tanzania[SUP][10][/SUP]

  • Honorary doctorate degree of Public Health
Muhimbili University of Health and Allied Sciences11 December 2010for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[SUP][11][/SUP]
 
viongozi wa udsm wanatoa PhD hii kama hongo ili waweze kufikiriwa kwa ajili ya nafasi mbalimbali serikalini kwahiyo
hiyo ni kama hongo kiana ni kama hawa wazee wa zamani waliochoka wanaojitokeza kila siku kumsifia JK kwamba anafanya kazi nzuri ili awafikirie kwa ajili ya nafasi mbali mbali kama ujumbe wa bodi na kadhalika.
 
Ni Rais pekee aliyepewa PhD tano ndani ya muda mfupi , ni mtu wa kwanza kupata Doctor of Laws Udsm. Je, anastahili? Mimi sioni kama anastahili, namwona kama rais dhaifu kabisa katika historia ya nchi. Kumpa PhD ni kudunisha PhD hizo

Perfect! Jina ulilochagua linapotray kichwa chako...ibange......bangi!. Huyu kilaza anazitafuta kwa nguvu kujinyanyua...hapewi na instututes hizo bila yy komba hivyo......typical kilaza!
 
Degree zote alizopewa kashangaa! Hii ni aibu kwa wanaotoa hizo degree! Jk na sheria wapi na wapi?
 
Mukandala pliz na mimi naomba hata kamastaz ka biashara bcoz nimejitahidi nimepata kadigrii kamoja ka biashara. Pliz prof. Mkandala consider my proposal coz in return I will vote for you as am sure next election utagombea ubunge
 
Back
Top Bottom