UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

Ndiye huyo huyo yes alikuwa anasoma PhD lakini kaanza juzi inakuwaje fupi hivyo ?

Jina ni ELIEZER MBUKI FELESHI (Ph.D in Law) Tasnifu: Contribution of Criminal Intelligence in the War against Crime in Tanzania Mainland. Ya JK sijui itaitwa Ph.D in Law title ya tasnifu; Unknown!
 
chuo cha dodoma umejenga wewe. Hizi shule za kata ni zao la nani. Kuhusu uhuru wa vyombo vya habari.

Chuo cha Dodoma ni msaada wa Mabwana zenu Wachina na shule za kutilia mimba dada zetu (Kata) zizsizo na walimu hizo pesa zilitoka kwenye mfuko wa Kikwete?
 
Hivi ni vigezo gani Prof. Mkandara katumia na kuamua kufumba macho na kutoa hii award!? Na ni vigezo gani huwa vinatumika hasa, ni kwa nini wasifikiriwe watu Kama Masoud Kipanya, James Gayo na Mwampembwa (GADO wa Nation ambaye alisomea hapo) maana ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao kazi kao hazina utata!
Mhhhh! Heshima hiyo kwenye sheria amekuwa nayo tangu lini? Amefanya lipi katika kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa mpaka astahili kupata tuzo hii!? USANII MTUPU!
 
yeye ndiye aliyesababisha hizo nyufa au ni wachina.

Mkuu huwa sipendi kubishana kwa kua wewe unalipwa na CCM na mimi silipwi, simply ni kwamba Ndio ni yeye kwasababu aliharakisha majengo yaishe kabla ya uchaguzi ili ayatumie kama kama kete, na kweli ilikua hivyo! Pole mkuu kwa kutetea visivyoweza kutetewa!
 
Chuo cha Dodoma ni msaada wa Mabwana zenu Wachina na shule za kutilia mimba dada zetu (Kata) zizsizo na walimu hizo pesa zilitoka kwenye mfuko wa Kikwete?

Twende nae taratibu Mpwa, tusitumie lugha kali, atakubali tu kama Mwita25, sasa anafikiria na kuwaza kwa akili than before
 
Duh, nini tena hapa umeme umekatika ghafla na kuna mhitimu mmoja anasema kwa sauti CCM oyeee! Kaazi kweli kweli, tupo gizani hapa jamani
 
Hongera kwa kupata degree ya uzamili. Mwenzako kikwete aliipata hiyo long time sana. Jitahidi na wewe unaweza kuja kupata PHD ya heshima kama JK

usijibaraguze hapa..mtafute kama kweli umo humo ndani.....mtu mwenyewe umesoma mmemkwa na hukumaliza!!
 
Ooooh jenereta imewashwa, afadhali, ndio wako nje kwenye maandamano huko, MIC nazo zinaanza kuzingua hapa! mmmmh leo sijui!!!
 
Aliruka stage mkuu

UDSM kinashuka hadhi yake kwa ajili ya kugawa Phd kwa vilaza kama Kikwete, Unampa Phd wakati nchi ipo kwenye matatizo ya Umeme, Maji, Afya, Ajira, Mikataba feki, Ufisadi, Barabara mbovu, Maisha ya watanzania hovyo, Utawala wa sheria nchini hakuna, Polisi kila kisku ni kuua Watanzania sababu hawaitaki Serikali ya Ufisadi na mambo kibao nchini ni hovyo kwa ajili ya Fisadi Kikwete halafu leo hii anahongwa Phd ya ubwete.
 
usijibaraguze hapa..mtafute kama kweli umo humo ndani.....mtu mwenyewe umesoma mmemkwa na hukumaliza!!

Nimemwelekeza nilipokaa, sijui kama ataweza kuingia, kumbe ni MEMKWA eeh na yeye anasubiri ya heshima!!!!
 
Poleni vijana mlioko mlimani city maana JK bado anapata msosi hapa UDSM kwa VC then ndio aje huko
 
Umeme umekatika kwa mara ya pili tena hapa, jamani sielewi kuna nini sasa, wahitimu wanapiga makofi hapa! AIBU ya nchi hii maana wapo wageni mbalimbali akiwemo Museveni na wengine....Tanzania bhaana, mtu anashindwa kufanya mpango umeme usikatwe leo yeye kazi kulilia PhD tu za heshima!!!!
 
Poleni vijana mlioko mlimani city maana JK bado anapata msosi hapa UDSM kwa VC then ndio aje huko

Ale ashibe asijekuja kuanguka hapa akatuharibia shughuli yetu, kwanza ameshaweka kiwingu kwa kutaka kupewa PhD ya sheria! Hivi hakuna za Nutrition au za nini tena vile
 
Chuo cha Dodoma ni msaada wa Mabwana zenu Wachina na shule za kutilia mimba dada zetu (Kata) zizsizo na walimu hizo pesa zilitoka kwenye mfuko wa Kikwete?

kiongozi gani anatumia pesa kutoka mfukoni mwake!
 
Duh, nini tena hapa umeme umekatika ghafla na kuna mhitimu mmoja anasema kwa sauti CCM oyeee! Kaazi kweli kweli, tupo gizani hapa jamani

umeme kukatika ni makosa ya kiufundi, lisiwape tabu. Hata jk linamgusa, naamini analafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom