UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

Nimemwelekeza nilipokaa, sijui kama ataweza kuingia, kumbe ni MEMKWA eeh na yeye anasubiri ya heshima!!!!

we si umeona ulipomwambia mahali ulipo na ulivyovaa umeona alivyonywea kakosa pozi kabisa...hahhhahaha....na hapo alipo hunda hajawahi faka hata mlimani city wala kuingia game
 
kwahiyo ulikuwa unataka apewe Slaa anaye hamasisha vurugu kila siku.

Acha kusifia visivyostahili kusifiwa. Fumbua macho yako ili uone nchi inaenda mrama badala ya kutaka kusifia mchango wa Kikwete ambao ni sifuri. Kwa taarifa yako hana mchango wowote na ndio maana kule magamba kuna baadhi wanataka kumvua Uenyekiti kwa usanii wake.
 
Mzee SUMAYE nae kaingia hapa, ila yeye hayuko kwenye list ya PhD za bure, yeye si alienda kusoma USA kipindi kile? Haya baadae
 
UDSM kinashuka hadhi yake kwa ajili ya kugawa Phd kwa vilaza kama Kikwete, Unampa Phd wakati nchi ipo kwenye matatizo ya Umeme, Maji, Afya, Ajira, Mikataba feki, Ufisadi, Barabara mbovu, Maisha ya watanzania hovyo, Utawala wa sheria nchini hakuna, Polisi kila kisku ni kuua Watanzania sababu hawaitaki Serikali ya Ufisadi na mambo kibao nchini ni hovyo kwa ajili ya Fisadi Kikwete halafu leo hii anahongwa Phd ya ubwete.

kweli nabii hakubaliki nyumbani.

Kwahiyo asipopewa hila gamba hayo matatizo yatakwisha?.
 
we si umeona ulipomwambia mahali ulipo na ulivyovaa umeona alivyonywea kakosa pozi kabisa...hahhhahaha....na hapo alipo hunda hajawahi faka hata mlimani city wala kuingia game

Kakimbia kabisa, pambafu kabisa!
 
Mimi ni mmoja wa wahitimu, tuko hapa Mlimani City, kwa mujibu wa kitabu cha majina ya wahitimu ukurasa wa 74 unaonyesha kuwa JK atalamba PhD ya Heshima kwenye Sheria wakati Museveni atapata ya fasihi. Vyanzo vingine vinathibitisha kuwa JK alizomewa Nkrumak sasa tatizo hapa ukumbini ni Elders tu sidhani kama watasemaje! Kaazi kweli kweli

huyo jamaa kwenye avatar yako hajapewa?
 
Acha kusifia visivyostahili kusifiwa. Fumbua macho yako ili uone nchi inaenda mrama badala ya kutaka kusifia mchango wa Kikwete ambao ni sifuri. Kwa taarifa yako hana mchango wowote na ndio maana kule magamba kuna baadhi wanataka kumvua Uenyekiti kwa usanii wake.

hao wanaotaka kumvua uenyekiti wanatumiwa. Wana uroho wa madaraka. Wametumwa kukidhoofisha chama. Ila watashindwa.
 
kweli nabii hakubaliki nyumbani.

Kwahiyo asipopewa hila gamba hayo matatizo yatakwisha?.

Eti nabii!!! Yale yale ya Kikwete chaguo la Mungu!!!! Kumbe ni chaguo la mafisadi waliojipa jina la wana mtandao. Acha usanii wako!!!!!
 
Aroooo kweli hii ni bongo lalaland yani uko ujerumani wazir mmoja alijiuzuri uwaziri wake kwa kucopy tu mistari katika utafiti wake leo liraisi letu linapokea phd ya buree! duuh!
 
Hahahaha, mtu mzima hatishiwi nyau Kaka, njoo ilipo camera, mbele, tafuta bango lililoandikwa MASTER OF SCIENCE IN RENEWABLE ENERGY. Niko hapa mkuu, karibu unisaidie huu ujinga wangu unaousema! Nimevaa joho jeusi na skafu ya orange! Uko pande za wapi??

kama kweli wewe ni jasiri na elimu yako imekukomboa kifra. ndo elimu mwl. nyerere aliitaka. hongera sana elli
 
Hawa Ghasia nae katia timu na mawaziri wengine hapa! Naona kama vile itageuzwa iwe ya CCM vile??!!!
 
Eti nabii!!! Yale yale ya Kikwete chaguo la Mungu!!!! Kumbe ni chaguo la mafisadi waliojipa jina la wana mtandao. Acha usanii wako!!!!!

unafahamu vigezo walivyotumia kumpa gamba!.
 
chuo cha dodoma umejenga wewe. Hizi shule za kata ni zao la nani. Kuhusu uhuru wa vyombo vya habari.

nimejenga mimi kwani nalipa kodi. JK amejenga yeye mhandisi au mtaalamu wa michoro? yeye mwambie kuuza nchi, atakucholea ramani babkubwa, utaiba mpaka basi. tayari keshatuingiza kigoma kwenye matatizo. Migebuka yetu na dagaa zetu zenye rangi ya kuvutia ndo rumeziaga kama vile mwanza walivyoaga sangara na sato
 
Aroooo kweli hii ni bongo lalaland yani uko ujerumani wazir mmoja alijiuzuri uwaziri wake kwa kucopy tu mistari katika utafiti wake leo liraisi letu linapokea phd ya buree! duuh!

Alikuwa ni PROFESA
 
Hawa jamaa sijui vichwa vyao vina vitu gani? yaani walisema ratiba inaanza saa nane kamili hivyo tuwepo ukumbini saa hizo, sasa vitabu vya majina vinaonyesha kitu tofauti eti wanaanza saa tisa na nusu, tumekaa humu ndani kama sijui nini vile, they are so disorganized.

kisukari kilimpanda!!
 
Mimi ni mmoja wa wahitimu, tuko hapa Mlimani City, kwa mujibu wa kitabu cha majina ya wahitimu ukurasa wa 74 unaonyesha kuwa JK atalamba PhD ya Heshima kwenye Sheria wakati Museveni atapata ya fasihi. Vyanzo vingine vinathibitisha kuwa JK alizomewa Nkrumak sasa tatizo hapa ukumbini ni Elders tu sidhani kama watasemaje! Kaazi kweli kweli

Hongera zako Mkuu kwa kuwa mmoja wa wahitimu.
 
hahahahahaha KAKA LOWASSA nae yupo ndani ya nyumba, kaaazi kweli kweli, kaenda kukaa na Sumaye pale, wanateta mawili matatu hapa
 
Back
Top Bottom