UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

Wewe ni mwalimu wa chuo. But are you an active software developer? Are you teaching a trade you don't practice yourself? You don't carry with you the programmer spirit.

By the way, good programmers are self taught. I started creating computer programs in A level. Waalimu wa chuo mimi nilikuwa nawasahihisha makosa ubaoni. Hawanitishi kitu.

Mim niliwahi kuwa developer, nikaacha baada ya kuona siwezi kufanikiwa kwa kuwa developer tu, hasa hapa nchini mwetu. To be successful as a developer you need business acumem. Baada ya kuona proposal zangu zinaishia kapuni au napata dili halafu nakosa ujanja wa ten percent nikaiweka career hiyo pending. By the way, kama unataka mwandishi mzuri wa proposal, nitafute. Also, worked very briefly (as briefly as lightining) with Vesl technologies.

Hata wewe unaedhani ni successful developer. Mbona kuna opportunity ya ku-integrate mobile financial services (m-pesa,tigo-pesa airtel money) na web hujaichangamkia? Au wewe ni developer wa kutumwa na bosi? Au mnasubiri wakenya wawaletee kama walivyowaletea m-pesa? Tuwe wakweli industry ya software development nchini mwetu ni magumashi. Unaweza ukawa na idea nzuri, lakini usisikilizwe na wadau. Mfano, nenda Vodacom waambie unataka kutengeneza API itakayowezesha wanamziki kuuza nyimbo zao mtandaoni na watu wakanunua kupitia akaunti zao za M-Pesa. Jibu tuletee hapa. Watakupa access ya server zao kwa ajili ya testing? Plus, software development sio programming tu. Actually programming is the easiest part, kama stages za awali zimefanyika vizuri. How can you be so proud with a job that keeps you awake all night long? Aren't you married?

Kuhusu kuwarekebisha waalimu wako ubaoni. Inaonyesha wewe unaijua syntax ya language. Programming ni zaidi ya hapo. Ni algorithms. So no big deal for me. Mfano mim najua language 6 kwa ufasaha, naweza kuchanganya syntax wakati nafundisha. Hiyo haina maana mwanafunzi wangu ni bora kuliko mimi.
 
Sasa unaelezea challenges za software industry bongo. Not part of the topic. Challenges zilizokufanya ukimbie while we others work hard to overcome the hurdles. Uliikacha field hii kwasababu hukuwa na passion. You have no passion in software and you have been trusted to train young buds in the field. Big mistake.

Kwa spirit hii ya kuziruhusu changamoto zikwamishe jitihada zetu do you think we would get anywhere?

Are syntax errors the only errors lecturers make in class? Come on...
By the way, I was just striking a point. This isn't a big deal to anyone.

Hutakiwi kujua language 6 kwa ufasaha. Unatakiwa kujua moja tu, nyingine unakuwa familiar nazo.
 
Wakati tunasema UDSM haiendi na wakati kwenye Programming tukumbuke kuwa ndicho kilichodevelop ARIS (1&2) kupitia kwa wahadhiri wake na kampuni yake ya masuala ya IT (UCC ltd). Kuna wakati UCC ilikuwa inachuana vikali na kampuni kubwa za wahind (e,g. catsnet) kwenye software industry. Ni vyuo vichache sana (mfano St. John) ambavyo havijawahi kuitumia ARIS, vingine vyote vimetumia au vinaendelea kutumia. Pia wahadhiri wake wako kwenye industry pia mfano-Dr. Lungo na Zalongwa System na Abdil Rashid na kampuni yake ya mambo ya IT. Mimi binafsi, naamin UDSM wana sababu za msingi za kuendelea kutumia Pascal kufundishia Programming. Mazingira yetu ya elimu hayaendani na ya wanafunzi wa ulaya. Kwahiyo sishangai wakiwa na mitaala tofauti.
 
Sasa unaelezea challenges za software industry bongo. Not part of the topic. Challenges zilizokufanya ukimbie while we others work hard to overcome the hurdles. Uliikacha field hii kwasababu hukuwa na passion. You have no passion in software and you have been trusted to train young buds in the field. Big mistake.

Kwa spirit hii ya kuziruhusu changamoto zikwamishe jitihada zetu do you think we would get anywhere?

Are syntax errors the only errors lecturers make in class? Come on...
By the way, I was just striking a point. This isn't a big deal to anyone.

Hutakiwi kujua language 6 kwa ufasaha. Unatakiwa kujua moja tu, nyingine unakuwa familiar nazo.

Tatizo la professional programmers kama wewe ni kuamin kwakuwa unajua Java na unafanya kazi kwa kutumia Java basi unaweza kumfundisha mtu lugha hiyo.
 
Tengenezeni API ya MPesa-Web integration ndo muje mtambe na skills zenu za language. Diamond anaihitaji ili aweze kuuza nyimbo zake na aache kuwategemea wahindi kwa usambazaji. Kwa taarifa tu, Kenya wameshafanya toka Novemba mwaka jana. Badala ya wao kuja kuwauzia VodaCom baada ya miaka 3-5, muwauzie nyie. Watanzania wanahitaji online payment system inayoendana na mazingira yao. Badala ya kutambiana vyuo, mtambiane patents (yes patents) na product zingne.
 
Bravo.. But u are part of it dont discriminate.
 
Sure. Vyuo vya ulaya vinashirikiana na industry ktk mambo haya. Kwenye industry wanajua how to implement (language), scholars wanajua what to implement(algorithms, new/modified ones). Sasa tunabaguana wakat Tanzania tunafanya programming ya kawaida kabisa-no sophisticated algorithms. Wanaofanya SW development ya maana kama FaceBook, Baidu, Google, etc wanashiriana kwa kiasi kikubwa na scientists ambao wanapatikana vyuoni. Kuna idea zinatoka vyuoni kwenda kwenye industry, and viceversa.
 
Anaetaka free softwares za programming languages esp Visual studio, Python, and C# I will be glad to help. Nipo nasoma hizo languages, nilimaliza C++ na sasa nipo namalizia programming using python, HTML web Page design all these simple languages ni vzr kuzijua hasa watu wa I.T na wale wanaohitaji kujifunza. Thanks.
 
Kweli udsm inajidhihirisha km a yesteryear institution. Criterion kubwa ya kuchagua programming language Ni number of available libraries. C, Java, Perl & Python ndizo zinaidadi kubwa ya libraries kkwa sass hivi.
 
attachment.php

On a serious note, Tatizo la programming kwa ujumla kwenye nchi yetu ni kubwa na kuna baadhi ya sababu zinaonekana humu humu kwenye hii thread, watu watataka kuonekana wajuaji zaidi (skills zao zipo bora) au vyuo walivyosomea vipo bora zaidi.

Tujiulize:
  • Je kama mfumo wetu wa elimu (regardless ya chuo) unaandaa watu kwa demand iliyopo kwenye soko inakuaje tenda nyingi zinachukuliwa na makampuni ya Kenya na Wahindi?
  • Je kama mfumo wa elimu ya nje (Ulaya,Marekani na mataifa mengine yaliyoendelea) hauendani na mahitaji yetu hapa nchini kwa nini wahitimu wengi wanaotoka nje wanakuwa vizuri zaidi ya wale waliosomea hapa nchini? (kuna neno huwa linatumiwwa sana eti wamepata exposure)
  • Kwa nini vijana wengi waliosoma computer science,IT,IS and the likes hapa nchini wanaishia kufanya kazi za support wanapoajiriwa sehemu mbali mbali?
 
Attachments

  • 409.gif
    409.gif
    64.9 KB · Views: 373
Tengenezeni API ya MPesa-Web integration ndo muje mtambe na skills zenu za language. Diamond anaihitaji ili aweze kuuza nyimbo zake na aache kuwategemea wahindi kwa usambazaji. Kwa taarifa tu, Kenya wameshafanya toka Novemba mwaka jana. Badala ya wao kuja kuwauzia VodaCom baada ya miaka 3-5, muwauzie nyie. Watanzania wanahitaji online payment system inayoendana na mazingira yao. Badala ya kutambiana vyuo, mtambiane patents (yes patents) na product zingne.

Nikuambie kitu: una siasa sana. Umemove kutoka why Pascal ain't fit for teaching, nikakuambia kuwa kwa kuonekana tu wewe huna passion na this industry, sasa ni nini hiki kutaja wakenya na MPesa API ilhali unajua VodaCom Tanzania wako so closed, hata API ambazo tayari zipo kama Pesapi hazifanyi kazi kwa commercial / business mpesa accounts, only private ones?

Is creating such an API the ultimate test of programming skills kwako?

Wakati watu wanakupa solid reasons as to why PASCAL shouldn't be taught wewe unaanza kuilalamikia industry na kusema tunashindanisha vyuo?!

Acha siasa, veering off the topic to the wilderness na kuchomekeza vitu ambavyo havipo.
 
Tatizo la professional programmers kama wewe ni kuamin kwakuwa unajua Java na unafanya kazi kwa kutumia Java basi unaweza kumfundisha mtu lugha hiyo.

Programmers are self taught. You SHOULD know this. Mwalimu wa programmer ni manuals and documentations.
 
Mleta uzi you are missing a point my friend.

Mimi nimesoma UDSM computer science na Nashukuru Sana Pascal Kwasababu Ndio iliyonifanya nipende programming.

Naweza kusema kuwa bila Pascal mimi nisinge kuwa interested na programming. Nitakupa sababu.

Sisi tulianza na pascal first year then second year tukasoma Java, sikuipenda Java hata kidogo Sababu kubwa ni ugumu, Object Oriented Programing ukimfundisha beginner nakuhakikishia hatopenda programming

Pascal gives basics of programming na ni simple so inakufanya usikate tamaa. Baada Ya kusoma pascal mwanafunzi ndio apewe kitu kigumu zaidi otherwise ukitaka uanze na OOP straight utaingia chaka

NB: vyuo vikubwa ulivyo vitaja wanafunzi wengi wanaanza Chuo wakiwa na basics za programming na computer kwa ujumla. Sisi bongo Mtu unatoka zako kijijini hujawahi kushika computer uje uanze kusoma OOP mzee si kutafutiana ubaya?
Mazingira ni tofauti kaka Kwahiyo UDSM sio wajinga.
 
Mie mmoja wa wa2 wanao ichukia pascal ila ss kwahyo program ya njunwa hapo itabidi niitetee jpo inawezekana kuandikwa kwa language nyingine 4 wat I knw
 
Tengenezeni API ya MPesa-Web integration ndo muje mtambe na skills zenu za language. Diamond anaihitaji ili aweze kuuza nyimbo zake na aache kuwategemea wahindi kwa usambazaji. Kwa taarifa tu, Kenya wameshafanya toka Novemba mwaka jana. Badala ya wao kuja kuwauzia VodaCom baada ya miaka 3-5, muwauzie nyie. Watanzania wanahitaji online payment system inayoendana na mazingira yao. Badala ya kutambiana vyuo, mtambiane patents (yes patents) na product zingne.

Mkuu nimeona ume-concentrate sana na MPESA API, I don't see the big deal here, I mean MPESA API mbona kazi ndogo, na am sure wapo wabongo wengi ambao washawahi ku-experiment with it.

Mimi mwenyewe nshawahi tafuta solution coz nilitaka kuintergrate my app to MPESA, Vodacom wanazingua, wanatoa majibu ya juu juu tu as if they don't care, na most of the times wanataka pesa. Ofcoz hata wakitaka niwatengenezee ni kitu simple tu coz tayari they have a database yenye all the transaction details.

Solution nzuri tu ya pembeni na nyepesi sana kuimplement, raspberry pi iliyo connected kwenye internet 24/7, weka modem na line iliyo-connected na MPESA account yako. Mtu akilipa message inaingia kwenye raspberry pi, unaandika script nyepesi ya kuhakikisha kua message imetoka Vodacom na sio kwingineko, una-parse all the required information namba ya simu ya aliyelipa, kumbukumbu namba, amount, tarehe, unatuma hiyo information kwa POST request kwenda kwenye the main server ambayo ina-authenticate kwa TOKEN kua ni kweli message imetoka kwenye raspberry pi yako na sio kwingine, then una-save that information kwenda kwenye database.

Simple na haina risk ya security threats.. The only problem utakayoface ni kama machine yako inayo-listen for incoming messages itaenda offline. Na sio lazima raspberry pi, hata ukiweka line kwenye simu na kutengeneza a simple android/iOS app inayolisten for the messages still inapiga mzigo vizuri tu.
This works quite well kwa almost any application bongo since hata kama ni watu wanalipia hawatokua in millions at the same time kwa hiyo it can handle the load. For very big application itakulazimu tu ucheze na backend Vodacom moja kwa moja coz they can't send you a million messages in a single day. Ila na yenyewe it shouldn't be something very hard to implement, am sure Vodacom wana server kubwa tu, wakimpa programmer yoyote aliye serious access kwenye system anaweza tengeneza, so yah! many Tanzanians can make it.
 
Haha a great working solution hii kuna brother mmoja hapa hapa JF aliita a "Ghetto solution" hata mimi nimeitumia sana kwa wenye biashara wadogo wadogo it really does the trick.

By the way from my experience kufanya manunuzi kwa kutumia mobile money kwenye mtandao I can say ni kitu ambacho kipo ready,

Nimecheza na hizi backends za mobile money for quite sometimes kwenye projects kubwa, though some of them sio standard APIs lakini with time you can easily integrate them to your app/system.

Its just politics za ndani zinazosumbua, sio kitu straight forward kukaa na hawa jamaa, having a nice technical or business idea is not enough to convince them to integrate their services with you wana issues nyingi non technical zinazorudisha nyuma developers wadogo.:angry:
 
hakuangalia vizuri hiyo prospectus or whatever the shit was,uliishia kuangalia 1st and 2nd semi pekee,angalia yote ndo uje kupost tena
Mimi hua ni mfuatiliaji sana wa mambo hasa ya technology. UDSM kama chuo kinachoongoza Tanzania nilikua nategemea watakua mstari wa mbele kuendana na mabadiliko kwenye technology.

Nimepitia Syllabus yao ya hawa wanaoenda kusoma Computer Science/Engineering, yaani first year semester zote mbili Introduction to programming in Pascal.

Hivi nani dunia hii bado anatumia Pascal? Why learn a language ambayo hutokuja kuitumia mbeleni hata siku moja, hakuna industry inatumia Pascal siku hizi, na hakuna anayetafuta kujiajiri au kuajiri mtu mwenye experience na Pascal.

Miaka yote naona course outline haibadiliki, hawapangi kitu kipya, everything is old. Kuna languages nyingine nyingi nzuri zinazofaa kumpa mtu introduction into Programming, Python being one of them au angalau C japo watu wanalia "pointers, dynamic memory allocation" ila ni vitu vikielezwa vinazoeleka vizuri tu. No wonder serikali inalalamika daily kua watu vijana wanaomaliza Tanzania hasa engineering courses hawana uwezo wa kujiajiri.

Ni vizuri kuwapeleka speed wanafunzi kuanzia mwaka wa kwanza sio wanagusa vitu boring wanapoteza interest.
 
Back
Top Bottom