kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
na DOSwewe ulitumia windows 3 wewe
na DOSwewe ulitumia windows 3 wewe
Hahahaaa! Wewe wasema...!wewe ulitumia windows 3 wewe
Duh naona umeamua. Ila bila DOS unaishije? Hakukuwa na bootable disk. Unaingia kwenye DOS via floppy disk then unapiga command ku boot toka ktk CD.na DOS
Kwanini wanafundisha kitu ambacho wanajua graduates hawatatumia? Huoni ni kuchoshana tu?? Kwanini wasingefundisha python au c??Lengo la hiyo course ni kuwafundisha watu introduction to programming. Basics za programming, data structure, principles etc.
Hawana lengo la kuwafundisha wanafunzi wakatumie pascal mtaani kufanya kazi. Ukimaliza hiyo course unaweza kujifunza lugha yoyote ile.
Usifikiri wao ni vilaza ndo maana hawafundishi lugha zingine.