UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

Ungependekeza nini wewe miaka yao ya masomo hiyo mitatu sijui minne wasome nini na nini kila semester?
Ila pia Jiulize are u better than UDSM lecturers?
kati ya sehemu napopaheshimu kwa level za Elimu Tanzania ni Chuoni tena Chuo kikubwa kama UDSM mm mtu hawezi nishawishi eti Wanachofundishwa hakifai...

Msifate Mkumbo wakuu kila mtu atakuwa mtalaamu wa kitu chake Unique usitake force kila mtu awe mtalaamu kile tu unachowaza wewe kina soko au kina wide varieties of perfomance

Mkuu sisemi I am better than UDSM, ila still nimesoma chuo ambacho wamejipanga vizuri kuliko UDSM, I am simply sharing my experience ili wabadilike tusonge mbele, swala sio kufata mkumbo, kuna vitu UDSM wanapatia ila hili wanakosea. Nimesoma Computer Science & Engineering kwa hiyo najua vizuri courses zote zinahusiana na nini, na kuna very important courses ambazo UDSM ni cheche, tukiacha hilo swala la Pascal kwamba wako nyuma, turudi kwenye vitu kama Artificial intelligence, hakuna machine learning UDSM wakati dunia nzima iko huko sa hivi, any big tech company siku hizi wana machine learning algorithms kwenye backend zinahandle data, sio google, sio facebook sio quora, stackoverlow, apple etc, that way jamaa wanazidi kua on top of their competitors siku zote. Machine learning inafundishwa vyuo vingi tu duniani, tusiongelee sana marekani ila hata Asia vilevile. Hatuwezi kukaa tunabaki nyuma tunang'ang'ania mambo ya zamani na kusifia ati kisa jina UDSM, lile ni jina tu wanaweza kua top bongo ila tukija kwenye swala la world market kwenye technology hakuna wanachofanya. Course nyingine kama Computer architecture,kujua assembly code na deep down machine imetengenezwa vipi ni very important, sio tu kwa performance ila hata security, na bado ukitaka kuunda a fully programmable machine kama hujui low level kuna nini hutoweza.. We huoni bongo tunatengeneza vitu kwa kuunga parts tu, kusema tuweke our own programmable logic ni mziki, wachache sana wanaweza.

Hakuna kitu kama kila mtu kua mtaalamu wa part yake, sasa ya nini kua mtaalamu wa kitu ambacho hakina faida? Tunasoma ili iweje sasa? Ulimwengu wa software hauko hivo, ndio maana kuna kitu kinaitwa Open source, software siku zote lazima kue na ushirikiano, huwezi kaa mtu moja ukatengeneza microsoft word, its impossible. Sasa kama language unaijua mwenyewe utatengeneza nini cha maana. Mkuu em jaribu kujifunza programming kidogo ufike level ya kutrngeneza a very simple application alafu urudi utuambie kama hujabadilisha mawazo
 
Mkuu twende mbele turudi nyuma, Pascal is a dead language..

Huo mfano wa app moja iliyoandikwa kwa Pascal doesn't make any difference, Ingeweza kuandikwa vizuri zaidi kwenye language kama C++. Wanaona uvivu kuiamisha tu sababu unaweza kuta codebase ishakua kubwa.

Pascal ilitumika miaka hiyo ya nyuma sana, siku hizi ukikuta industry inatafuta Pascal jua labda wana software ya zamani sana ambazo wanaona zitawacost sana kuziandika upya. Nenda google tafuta jobs uone kama utaona kampuni yoyote ya maana inatafuta mtu anayeandika Pascal. Hakuna hata moja..

UDSM hiyo choice ya language wamekosea, pitia vyuo vyote vikubwa duniani kama utaona kuna hata kimoja wanafundisha Pascal, kuanzia MIT, Harvard, Princeton, Caltech, wote utakuta ni Python au C. Wengine wanagusa Java, no one teaches Pascal nowadays. Hata internet kila kona wanasema its a dead language.

Maybe you should learn more programming iko wapi na inaelekea wapi, new features ni zipi na watu wanafanya nini before commenting. Ya nini kustick na language ambayo in the end you won't do anything significant with it, coz eventually utaiacha tu, kwanza haina support kwa hiyo ukiwa na tatizo utatafuta sana online kupata mtu ambaye angalau anaweza akajibu, pili utataka kuimplement a certain feature itabidi uandike from scratch from zero sababu hutopata library online ya kukufanyia wewe hiyo kazi. In the end hakuna kitu productive mtu anaweza fanya kwenye Pascal. Studying a language is more than just being able to code anything with it, its also about support utakayopata, kama utafanikiwa kutengeneza kitu cha maana, je utapata watu kirahisi kukusaidia kukuza codebase?

Facebook walijaribu kutengeneza Messenger service yao kwa language inaitwa "Erlang" ni very powerful language, hata Whatsapp ndo wanatumia, ila walikosa experts, wakahama language, wakatumia language iliyo na support kubwa. Sasa mtanzania ndo kwanza hata industry yetu iko very low, tuongeze shida tena kutumia languages zisizo na support, mwisho wa siku hakuna kitu tutaproduce
Asante sana umeleza vizuri sana mkuu!
Na hapo unatoa Ushawishi kuliko ulivotoa Post #1

Nina Code za software kadhaa awali zilinicheza akili sana sababu nili google maswala mengi nkawa sipati majibu mazuri/Support japo niliona kuna Forum moja ipo active kidogo(Delphi Forum) ila nkapata Mzee Mmoja UDEMY anaifundisha kawa nimepata basics za ku edit hiyo kitu.

Ila mm navyojua Elimu ya Kwetu hapa kuna vitu wana vi Conserve na awawezi kuviacha Vife eti kisa ni Dying Programming language
 
Chuo kama UDSM sidhani kama wao ni ndezi kiasi hicho nachojua Vyuo vya Tanzania wanafundisha Wataalamu wa Kimataifa

Njunwa all Universities found in Tz piss off when it comes to programming in general.

They only teach programming language but not programming.

Eh bana tuende mbele turudi nyuma udom pale informatics wapo vzuri mi pia nakwazwa sana na hili swala la udsm kusoma pascal yani sijui wanafikiria nin hawa jamaa dunia tuliyonayo sasa sio ya pascal aseh naomba wahusika wapite huku wabadili huu uwozo

hapa UDOM Informatics ukikutana na Massoud au babu mselle ni noma aisee,,

This won't make your point of shi legitamacy at al.
what you're both trying to do is staying naked hoping to look sexy.
 
Kiukweli watu wote waosupport hii ishu nipo kinyume nao, Kwa programmers wengi Java imekua njema kuitumia kuzidi hio pascal, hivyo kwa programmers wengi wa enzi zile waliotumia pascal saizi hutumia language mpya na effective kama java or c# for da same job plus more simplity and other feauters , Naweza kusema tu pascal ni language ya kutoa mwanga kufundisha software development kwa beginners ila sio Object Oriented Programming language kama Java, Lecturers wengi unakuta walisoma miaka ya 1997 wakiwa nondo kwenye pascal wakagraduate na hawakutaka kujiendeleza zaidi kwenye language za kisasa kama Java, Hivyo wao wanasisitiza wafundishe wanachokijua na si wasichokijua binafsi kwa maoni yangu for the good of safeguarding future za wanafunzi wangebase mno kwenye c# na java,
 
Na me niweke Mchango wangu kidogo kwenye Hili..
First from my point of view naona Programming is more of a hobby or smthin..
N its realy supposed to be funny expirience studying it kama kweli unaipenda..
Binafsi pamoja na kusoma kwangu course ambayo its not computer science related nimependa proggramin n i learned my fair share (and i am still learning) na katika watu niliokutana nao kwa udsm nikasema hawa watu wanajua programin hawasomi hata Computer science as their major they study quite differnt stuff lakin wanacodi kinomaa coz they love the thing..
Madogo wanaosoma computer sciences courses wanasoma midesa yao tu na kuingia kwenye test (nonsense) wapate mibanda yao then wakafanye kazi kwenye makampuni ya telecommunication n watnots huko....

What am tryin to say here kama u love programin chimba mapdf google huko na matutorial yapoo kibao then toboa infront of ur laptop typin with plenty of caffein besides you na kwa wale wanaosoma computer science n the related courses regardless of the university you are in mpo very privelegd to study such an exciting field ndo msizingue sasa coddin bhasii ndo kazi yenuu iyo mnaeza mkaproduce th nxt big thing (or hata th small usefull stuff)..
Silicon valley huko teenagers wanakua millionares with juc their laptops...
 
Ungependekeza nini wewe miaka yao ya masomo hiyo mitatu sijui minne wasome nini na nini kila semester?
Ila pia Jiulize are u better than UDSM lecturers?
kati ya sehemu napopaheshimu kwa level za Elimu Tanzania ni Chuoni tena Chuo kikubwa kama UDSM mm mtu hawezi nishawishi eti Wanachofundishwa hakifai...

Msifate Mkumbo wakuu kila mtu atakuwa mtalaamu wa kitu chake Unique usitake force kila mtu awe mtalaamu kile tu unachowaza wewe kina soko au kina wide varieties of perfomance

Nimesoma udsm na kumaliza 2011 BSc Computer Science, hatujasoma Paschal na wala haikuwa kwenye mtaala isipokuwa wanaosoma computer engineering.

All in all hata kama inafundishwa sasa hivi baada ya kureview curriculum, hizi language za programming zinakupa base tu!! Kuna languages nyingi sana duniani, sio lazma kinachofundishwa udom kifundishwe sua au udsm au St Joseph! Let the universities create a diverse knowledge ili wakikutana mtaani waweze kudeliver kilicho bora kwa kutumia concepts tofauti tofauti
 
hapa UDOM Informatics ukikutana na Massoud au babu mselle ni noma aisee,,

Unasifia utumbo tu
Msele zaid ya map code anajua nn kingine??
Na masoud nae anajua programming?dude kapata mashaka na uwezo wako
 
Unataka kusema Mwaka mzima wanasoma Pascal tu bila kusomaLanguage nyingine?

Si mtaalamu wa Programming ila Usidharau kitu chochote I have plenty of Good softwares written in Pascal usije hapa kuwaaminisha watu ati Pascal haina maana ulimwengu wa leo.

And Mind You Chuo kama UDSM sidhani kama wao ni ndezi kiasi hicho nachojua Vyuo vya Tanzania wanafundisha Wataalamu wa Kimataifa

Nimesoma Chuo ila kuna vitu tumejjifunza sio Common nchini kwetu ila nchi za jirani vipo,siwezi kusimama kasema chuo changu wali Bugi kunifundisha kitu ambacho hakipo kwetu.

who knows my future? si ajabu kaenda kufundisha au kufanya kazi ambako hicho kitu ambacho nakidharau kipo au kinatumika

Example of app written in Pascal

cLvXar.png

kwa walotumia hizi apps watakwambia mambo yake na nawashauri wanafunzi wote wa UDSM wa hiyo course mtakaosoma thread hii hapa msipuuze mnachofundishwa na Walimu wenu au ma prof wenu kwa kusikiliza eti who Learns Pascal this world,so long as in Programming language jifunzeni tu mnafundishwa muwe watalaamu wa Ulimwengu mzima na hauwezi kuwa mtalaam kwa ku Ignore vitu ambavyo haujui labda ungekua wewe ndo expert kuzidi vile mleta mada anavyotaka walimu wenu wawafundishe

Wataalam wa pascal?dude plz t seems hata hujui programming ni nn??shame on u wenzetu wanakomaa na python plus r huko we unakazana na pascal hv unajua hata pascal inatumika kufanya nn?
 
Ungependekeza nini wewe miaka yao ya masomo hiyo mitatu sijui minne wasome nini na nini kila semester?
Ila pia Jiulize are u better than UDSM lecturers?
kati ya sehemu napopaheshimu kwa level za Elimu Tanzania ni Chuoni tena Chuo kikubwa kama UDSM mm mtu hawezi nishawishi eti Wanachofundishwa hakifai...

Msifate Mkumbo wakuu kila mtu atakuwa mtalaamu wa kitu chake Unique usitake force kila mtu awe mtalaamu kile tu unachowaza wewe kina soko au kina wide varieties of perfomance

Ungekua unajua technology kiasi usingeongea utumbo huu,!
 
Mkuu sisemi I am better than UDSM, ila still nimesoma chuo ambacho wamejipanga vizuri kuliko UDSM, I am simply sharing my experience ili wabadilike tusonge mbele, swala sio kufata mkumbo, kuna vitu UDSM wanapatia ila hili wanakosea. Nimesoma Computer Science & Engineering kwa hiyo najua vizuri courses zote zinahusiana na nini, na kuna very important courses ambazo UDSM ni cheche, tukiacha hilo swala la Pascal kwamba wako nyuma, turudi kwenye vitu kama Artificial intelligence, hakuna machine learning UDSM wakati dunia nzima iko huko sa hivi, any big tech company siku hizi wana machine learning algorithms kwenye backend zinahandle data, sio google, sio facebook sio quora, stackoverlow, apple etc, that way jamaa wanazidi kua on top of their competitors siku zote. Machine learning inafundishwa vyuo vingi tu duniani, tusiongelee sana marekani ila hata Asia vilevile. Hatuwezi kukaa tunabaki nyuma tunang'ang'ania mambo ya zamani na kusifia ati kisa jina UDSM, lile ni jina tu wanaweza kua top bongo ila tukija kwenye swala la world market kwenye technology hakuna wanachofanya. Course nyingine kama Computer architecture,kujua assembly code na deep down machine imetengenezwa vipi ni very important, sio tu kwa performance ila hata security, na bado ukitaka kuunda a fully programmable machine kama hujui low level kuna nini hutoweza.. We huoni bongo tunatengeneza vitu kwa kuunga parts tu, kusema tuweke our own programmable logic ni mziki, wachache sana wanaweza.

Hakuna kitu kama kila mtu kua mtaalamu wa part yake, sasa ya nini kua mtaalamu wa kitu ambacho hakina faida? Tunasoma ili iweje sasa? Ulimwengu wa software hauko hivo, ndio maana kuna kitu kinaitwa Open source, software siku zote lazima kue na ushirikiano, huwezi kaa mtu moja ukatengeneza microsoft word, its impossible. Sasa kama language unaijua mwenyewe utatengeneza nini cha maana. Mkuu em jaribu kujifunza programming kidogo ufike level ya kutrngeneza a very simple application alafu urudi utuambie kama hujabadilisha mawazo

They call it business intelligence
They normally use r programming language for dat analysis and mining
Actually is wht I do for a living!
 
Wataalam wa pascal?dude plz t seems hata hujui programming ni nn??shame on u wenzetu wanakomaa na python plus r huko we unakazana na pascal hv unajua hata pascal inatumika kufanya nn?
Umekula maharage ya wapi kwani???

Nimeweka mfano wa application inayotumia Pascal bado unahoji pascal inatumika kufanya nini??
Nikwabie tu na mm mwenyewe kwa mda wangu wa ziada najifunza Pascal sababu kuna applications nina majukumu ya kuziendeleza na Initial language ilokua Imeandikwa na hizo software ni Pascal under Delphi 7 IDE

Kuna Mtu Akahoji issue ya Support Online kutopatikana kwa Pascal na ndo mwenye logic sio wewe unahoji maswali ya kitoto lakini support ipo tu ukiwa mtu wa kujichanganya na wenzako na ikiwezekana wa nchi zingine.

Sasa Ukinihoji swali kama hilo inabidi na mm nkuhoji Is your Intelect Intact kweli wewe??

Unanihoji Programming inatumika kufanya nn Wakati nimekuwekea software iloandikwa kwa pascal ambayo wewe unalazimisha iwe kwa lugha fulani Kisa umesikia wenzetu hawasomi tena Pascal.

Emu nipe baadhi ya Software zako(Ulizoandika mwenyewe) hata kwa majina,ulizoandika kwa Lugha unayoona ni Bora zaidi ndo Uje unihoji hayo maswali yako!
Na pia Unihoji kama haziandikiki kwa Pascal

Usijione mawazo yako ndo Bora kijana tukiwa na mawazo sawa wanadamu wote unafikiri kwenye hizi Forums tungejadili nini?

Hivi ukiwa unashida na ku solve task yoyote kwenye Computer lets say unatengeneza Dashboard ya Modem will it matter to me ukiandika kwa Lugha unayoitaka wewe na mm nkaindika kwa Lugha nayotaka mimi na zikaweza kufanya kile kilichokusudiwa???

What if nkaiandika hiyo dashboard kwa pascal na wewe ukaindika kwa Lugha unayotaka, Je hatutakua tumefikia Lengo la programming!

Ndo maana nkasema wengine hawana sababu wanafata Mkumbo mmoja wao ni wewe eti kisa mahala fulani au sehemu fulani ya dunia wao hawafundishi kitu fulani.

Huu Ulimwengu kila Kitu kina Umuhimu wake ndo Maana Kila mtu ata select lugha itakayompendeza ila tukiishi kwa Mkumbo hatutofika hata siku moja!

Mwisho wa Siku Vyuo vinafundisha pia navyo vipate wataalamu wa kuja vipika vizazi vijavyo!

Je wakiendesha Shule kwa ku Ignore mambo kama unavyotaka wewe Ulimwengu utakua vipi?

Naona na wewe ni Fata Mkumbo aka Nyumbu Umehoji maswali kibao ila haujaweza Nionesha Ubora wa hiyo Lugha unayoitaka wewe Over Pascal
 
Ungekua unajua technology kiasi usingeongea utumbo huu,!

Umekurupuka Jomba tulia Uchanganue mambo sio mawazo ya mwezako kisa kawaza vingine ni Utumbo...

Ni utumbo kufikiri mawazo yako ni bora kuzidi ya Mwingine!
 
Mkuu twende mbele turudi nyuma, Pascal is a dead language..

Huo mfano wa app moja iliyoandikwa kwa Pascal doesn't make any difference, Ingeweza kuandikwa vizuri zaidi kwenye language kama C++. Wanaona uvivu kuiamisha tu sababu unaweza kuta codebase ishakua kubwa.

Pascal ilitumika miaka hiyo ya nyuma sana, siku hizi ukikuta industry inatafuta Pascal jua labda wana software ya zamani sana ambazo wanaona zitawacost sana kuziandika upya. Nenda google tafuta jobs uone kama utaona kampuni yoyote ya maana inatafuta mtu anayeandika Pascal. Hakuna hata moja..

UDSM hiyo choice ya language wamekosea, pitia vyuo vyote vikubwa duniani kama utaona kuna hata kimoja wanafundisha Pascal, kuanzia MIT, Harvard, Princeton, Caltech, wote utakuta ni Python au C. Wengine wanagusa Java, no one teaches Pascal nowadays. Hata internet kila kona wanasema its a dead language.

Maybe you should learn more programming iko wapi na inaelekea wapi, new features ni zipi na watu wanafanya nini before commenting. Ya nini kustick na language ambayo in the end you won't do anything significant with it, coz eventually utaiacha tu, kwanza haina support kwa hiyo ukiwa na tatizo utatafuta sana online kupata mtu ambaye angalau anaweza akajibu, pili utataka kuimplement a certain feature itabidi uandike from scratch from zero sababu hutopata library online ya kukufanyia wewe hiyo kazi. In the end hakuna kitu productive mtu anaweza fanya kwenye Pascal. Studying a language is more than just being able to code anything with it, its also about support utakayopata, kama utafanikiwa kutengeneza kitu cha maana, je utapata watu kirahisi kukusaidia kukuza codebase?

Facebook walijaribu kutengeneza Messenger service yao kwa language inaitwa "Erlang" ni very powerful language, hata Whatsapp ndo wanatumia, ila walikosa experts, wakahama language, wakatumia language iliyo na support kubwa. Sasa mtanzania ndo kwanza hata industry yetu iko very low, tuongeze shida tena kutumia languages zisizo na support, mwisho wa siku hakuna kitu tutaproduce

Mkuu sitaki kusema hii Language ni nzuri kuzidi language zingine nimefurahi unahoji swali afu unajijibu umeshajua Kabisa Kuna OLD softwares ambazo ziko written in Pascal na kuna kampuni haziko tayari kuziandika kwa Lugha nyingine na hapo ndo soko linapoanza maana mm ninayo mifano ya Program nilizokutajia awali zimeandikwa kwa pascal zamani kidogo ila mpaka leo zinatumika na wanaitaji watu wa kuzifanyia modifications with time na hii inanipa Jibu kwa nn UDSM wamei neglect miaka ilopita kama baadhi walivyosema ila baade leo hii wameirudisha kuwafundisha watu.

Kwenye Bold hapo unasema No one teaches Pascal naona Unapotosha Mchana kweupe Kuna Course UDEMY wanafunzi walokua enrolled ni 670 sio Big number ila ni best number kwa lugha kama hii

Inshort nkwambie tu na mm ni mmoja kati ya hao 672 na kama kuna anaitaji Video lectures kutoka Hii course ninazo anaetaka nazigawa BURE kabisa
Nimei order kwa promo around 12$ ila sijajuta sababu hela zitarudi mara 100 zaidi😛oa
With Little knowledge nimeweza ku solve matatizo walokua nayo kwenye hizo codes 🙂

Ndo hayo Mkuu unaweza kuona Huyu mzee na Knowledge yake ya Pascal kati ya hao 670 kama ana earn lets say average 30$ sababu kuna wanaoingia promo na kuna wanaonunua full kwa kichwa kimoja unafikiri huyu aloandaa hii course haja earn Living?
Na tutorial ukiziandaa umeziandaa unapumzika tu,They say Knowledge is Power

Sbm2PB.png
 
computer science udsm wanasoma C programming , Java programming
.computer engineering wanasoma Pascal, Java na c programming.... ukipewa background ya izo zingine una uwezo wa kuzisoma mwenyewe faster ingekua mbaya wangefundisha Pascal tu pekee km unavotuainisha mleta Mada...
 
Natamani sana kujifunza IT hasa programming ingawa sina basic yoyote. Wapi naweza kupata hyo elimu kwa muda nje ya muda wa kazi??

Kuna washkaji wana jumuiya yao wapo Arusha wanaitwa Arusha coders wacheki hao mkuu.
 
Unasifia utumbo tu
Msele zaid ya map code anajua nn kingine??
Na masoud nae anajua programming?dude kapata mashaka na uwezo wako
we kalia kuponda tuu shiiit,, mwenzako nimejifunza ujuzi mkubwa kutoka kwa masudi ,a najiamini, hata fild zangu zote nafanya Tigo ktk service program designing kutokana na utaalam naozid upata hapa info,
 
Mkuu kwanza kabisa heshima mbele,
Nami ni mmoja kati ya watu walio inlove with Coding ila kwa sasa nimeanza kidoogo kusoma html & css mkuu naweza pata link nzuri yenye vitabu vya hii course!!
Kuna site inaitwa W3school ni nzuri sana .
Pia kuna kitabu kinaitwa "HTML And CSS - Design And Build Websites V413HAV" ni kizuri sana.
Pia youtube kuna tutorial nzuri sana ,unaweza kuingia uka search unachokipenda.
 
Kuna mdau mmoja amesema vizuri hapo juu , vyuo vingi wanafundisha progamming language tu , mimi naamini kuprogram ni passion na hobi ya mtu unaweza kukomaa bila hata kufundishwa darasani na bado ukajua language fulani kwa kujifunza mwenyewe ila ukisubiri lecture aingie ndio akufundishe , siamini kama unaweza kutoka.
 
Mkuu sitaki kusema hii Language ni nzuri kuzidi language zingine nimefurahi unahoji swali afu unajijibu umeshajua Kabisa Kuna OLD softwares ambazo ziko written in Pascal na kuna kampuni haziko tayari kuziandika kwa Lugha nyingine na hapo ndo soko linapoanza maana mm ninayo mifano ya Program nilizokutajia awali zimeandikwa kwa pascal zamani kidogo ila mpaka leo zinatumika na wanaitaji watu wa kuzifanyia modifications with time na hii inanipa Jibu kwa nn UDSM wamei neglect miaka ilopita kama baadhi walivyosema ila baade leo hii wameirudisha kuwafundisha watu.

Kwenye Bold hapo unasema No one teaches Pascal naona Unapotosha Mchana kweupe Kuna Course UDEMY wanafunzi walokua enrolled ni 670 sio Big number ila ni best number kwa lugha kama hii

Inshort nkwambie tu na mm ni mmoja kati ya hao 672 na kama kuna anaitaji Video lectures kutoka Hii course ninazo anaetaka nazigawa BURE kabisa
Nimei order kwa promo around 12$ ila sijajuta sababu hela zitarudi mara 100 zaidi😛oa
With Little knowledge nimeweza ku solve matatizo walokua nayo kwenye hizo codes 🙂

Ndo hayo Mkuu unaweza kuona Huyu mzee na Knowledge yake ya Pascal kati ya hao 670 kama ana earn lets say average 30$ sababu kuna wanaoingia promo na kuna wanaonunua full kwa kichwa kimoja unafikiri huyu aloandaa hii course haja earn Living?
Na tutorial ukiziandaa umeziandaa unapumzika tu,They say Knowledge is Power

Nafikiri we ndo umemuelewa vibaya , NollPointer aliposema "No one teaches Pascal" , kwa mimi nlivyomwelewa ni kwamba support ya pascal imepungua sana ingawa bado inaendelea kutumika , but pia most programs written in pascal are being migratted to well structured OOP languages kama C++ na zingine .

Hii inamaanisha kwamba main reason ya kwa nini bado kuna baadhi ya watu bado wanahitaji pascal , ni kwa sabab kuna baadhi ya makumpun machache still uses old legacy softwares written in Pascal ( kwa mfano software yako ) . kuzifix pale zinapoleta shida ni lazima umpate mtu anayeijua pascal , but ukweli kampuni za namna hii ni chache , and many of them washabadilisha softwares zao to keep with the current tech specifications .

Tuongelee fact kwamba UDSM bado wanafundisha PASCAL

Pascal is a 30+ yrs old language , its not a relavant language anymore except for those few reasons I have mentioned above , Chuo kama UD kufundisha Pascal ni " Kuwastakisha watu in time " , there are tons of useful languages across the world , huwezi kukuta any modern company eti bado inatumia Pascal , Naamini hata lectures wa Pascal UDSM yote kama sio mmoja basi hawazid wawili , Siamin kama ni sawa kuiwekea sylbus Pascal na kufundisha watu wengi kwa ajili ya faida ya makampuni machache , wakati ungeweza kuwafundisha hao watu wengi any other useful language na baadae wakajua jinsi ya kudevelope na kubadili code iliyoandikwa kwa Pascal kwenda language nyingine ambayo ni nzuri ,

Mimi binafsi sijawah kukutana na tangazo lolote la kazi Tanzania hii , linahitaji mtu anayejua Pascal

Na hili ni tatizo vyuo vingi vya hapa kwetu Tanzania , vyuo vina old lectures , they feed us with outdated languages ambazo sio relevant anymore , na kinachoudh zaid vyuon ni kwamba , lectures never take time to update themselves , notes unakuta zimeandaliwa zaid ya miaka 4 nyuma mpaka leo mnatumia , na kama sikosei hata hao UDSM kama kweli waliisimamisha hiyo course wakaja irudisha tena sa hivi , utashangaa kuambiwa ni notes zilezile walizotumia kabla ya kusitishwa course ndo zinazotumika tena sasa hivi
 
Mkuu kwanza kabisa heshima mbele,
Nami ni mmoja kati ya watu walio inlove with Coding ila kwa sasa nimeanza kidoogo kusoma html & css mkuu naweza pata link nzuri yenye vitabu vya hii course!!
Mkuu pia kuna css framework kama bootstrap unaweza kujifunza jinsi ya kuzitumia pia inasaidia sana kwenye designing ila ni vizuri ukaijua css kwanza ili uweze kutumia hizi framewor.
Fuata link hizi hapa chini kuna tutorial zake kwa begginers

https://www.youtube.com/watch?v=mKt-MDwtVB4&list=PLvAAZChoagM3Ch63apDSE6Ra6NeI62sQV
https://www.youtube.com/watch?v=DX-LoNaUr6w&list=PLRtjMdoYXLf6Inhz3BZ1h8Ti5q6lleOOC
 
Back
Top Bottom