hapa nipo pande za udsm, ni vurugu tupu, nim,efika na nimekuta wanafunzi wanakimbia huku na huko, nilipo pita karibu na kikundi fulani cha wanafunzi nikasikia wakisema kuna mtu mmoja wa usalama wa taifa amekamatwa na wanafunzi wamempiga na wakawa wameendelea kumshikilia, kitendo hicho kimepelekea polisi kuja kumuokoa mwenzao.
nilipo wauliza wanafunzi kwa nini wanakimbia? wakajibu kuwa wanaogopa kukamatwa na polisi.
Aseee.....interesting!!na IMTU wanafunzi zaid ya 400 wameenda kudai transcript zao kusud wahame chuo. Finance manager kalazwa regency kwa pressure
na IMTU wanafunzi zaid ya 400 wameenda kudai transcript zao kusud wahame chuo. Finance manager kalazwa regency kwa pressure
na IMTU wanafunzi zaid ya 400 wameenda kudai transcript zao kusud wahame chuo. Finance manager kalazwa regency kwa pressure
hao usalama wa taifa ni wa kupiga kabsa-maana wapo kichama sana