Uongozi wa wanafunzi Udom wamekanusha taarifa kuwa walitoa tamko kulaani hatua ya Chadema kutoka bungeni ( soma majira Jpili). Wanasema aliyetoa tamko ni mwanafunzi mwenye kiherehere wala hana cheo alichosema anacho. Hawakumtuma wala hakuwa anawalikisha maoni ya uongozi wala wanafunzi wa UDOM.Waliagiza achukuliwe hatua kwa kuwadhalilisha wana UDOM. Nilikuwa nimewashangaa sana wana UDOM.