A
Anonymous
Guest
Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal.
Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa Bachelor of Education in Pschology kitu ambacho kinawanyima fursa wahitimu wengi kwenye ajira.
Hiyo ni kwa sababu cheti kinaonekana hakiendani na kazi tajwa kwasababu ya makosa ya kutaja Bachelor vibaya, tunaomba warekebishe hilo.