Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,774
- 22,085
We unategemea Nini kama washauri wa sirikali ni akina Steve mengere.Ila Ccm,kwahyo hapo ndo watakua wametatua tatzo la Ajira??
Wanaona labda tatizo la kukosa ajira ni uwepo wa vyuo na hizo kozi. Soon watatangaza baadhi ya college kuwa vyuo vya mapishi.
Akili ndogo huwa ni ngumu kuleta utatuzi wa changamoto.