Dooh kweli Hali siku hizi.imekua Mbaya..zamani hakukua na shida hivyoKule block T hakuna maji 😂.
Watu wanafuata maji hadi utawala.
Hahahaha! Ulipiga course gani pale mkuu?Duh, umenikumbusha enzi zile nasoma pale, nilikuwa nalala college zote pale. Siku mmoja nilienda kulala COED, usiku kunguni walinibeba mzima mzima maana walikuwa wamenona ile mbaya 😂
Mkuu ulisoma pale au unasoma hapo?
Halafu ndaki ya elimu itakuwa na wanafunzi wangapi?
Kumbuka ndaki ya elimu ni bonge la ndaki na ina mjengo mengi ya hostels na venue za kusomea na hesabu zako zinaonesha kuwa watakaosoma ualimu hawatazidi 2000.
Cc Poor Brain
Mwaka huu, CoEd maji ni wafalme hawana shida. Ila social CNMS mmmh! Sometimes Hadi hospital hufuataKule block T hakuna maji 😂.
Watu wanafuata maji hadi utawala.
Huko ni kutapatapa tu kwa serikali yetu. Kimsingi bado kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu kote nchini, kutokana na ukweli kwamba hakuna uwiano sahihi kati ya mwalimu mmoja na wanafunzi ambao unatakiwa uwe 1:40/45 hivi.Nini maoni kuhusu mpango huu wa wizara ya elimu?
NimeshangazwaHuko ni kutapatapa tu kwa serikali yetu. Kimsingi bado kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu kote nchini, kutokana na ukweli kwamba hakuna uwiano sahihi kati ya mwalimu mmoja na wanafunzi ambao unatakiwa uwe 1:40/45 hivi.
Ni kawaida sana ukienda shule za serikali kumkuta mwalimu mmoja anafundisha watoto zaidi ya 100-300!
Ukija kwenye masomo ya sayansi, bado nako hali siyo nzuri! Na kinachoshangaza walimu wa msomo yote wamejaa mtaani hawana ajira! Huku serikali ikishindwa kuwaajiri ili kutatua changamoto ya upungufufu wa walimu kwenye shule zao, na pia kupunguza tatizo sugu la ajira kwa vijana na wasomi wetu.
Ushauri kwa serikali;
1. Ipunguze matumizi yake yasiyo ya lazima, ili fedha zitakazo patikana zikaajiri walimu.
2. Ipunguze mishahara ya wabunge na maafisa wake wa ngazi za juu ili fedha itakayopatikana ikaajiri walimu.
3. Iondoe yale mafao yasiyo na tija kwa wake/waume wa viongozi wa ngazi za juu ili fedha itakayo patikana ikatatue changamoto za elimu nchini.
Ila siyo kukimbilia tu kupunguza hizo course za ulimu kwenye vyuo vyake. Kwa sababu uhitaji wa walimu kote nchini, bado ni mkubwa.
Maradhi ❌Bado na walimu wale wa BAED kule social na humanity nao pia sijui watataka kuwafanyia hivyo hivyo?
Ila COED ndio college yenye maradhi ya uhakika kabisa kwa Hostel ila kunguni sasa mzee alooh pale nilikoma hakika hadi nikazoea that time walikuwa sio wengi sana kama sikuhizi
Mkuu hapa syo DW😂😂😂Kutoka Simiyu naipongeza serikali kwa maamuzi yake
Mzee kiswahili kipanaKumbe kiswahili cha college ni ndaki.
Faculty ndio kitivo sio
Ni vituko uswahilini mkuu 😂Dooh kweli Hali siku hizi.imekua Mbaya..zamani hakukua na shida hivyo
Bora wangefuta hiyo sijui mnaita ndaki resources hususan majengo etc zitumike kwa manufaa mengine.Mimi nilisomaga hapo mkuu
Napajua vizuri sana nilishasomaga hapo wayback
Kuna block A mpaka T hostel na nyingine hapo bado hazijajaa wanafunzi nyingine room empty,
Kuhusu venue kuna theatre 1 to 4 na kuna lecture rooms 1 to 7 kama nakumbuka kwahiyo ni college kubwa ndiyo ila tusubiri kama uamuzi huu utafanyiwa kazi .
Means pia wakufunzi nao watapunguzwa pia🙄
na kwa takwimu za sasa estimated CoEd ina wanafunzi zaid ya elfu 45 ukitoa hawa finalist wanaomaliza keshokutwa .
Kwahiyo swala sio wingi wa wanafunzi mkuu lengo ni kupunguza uwingi wa walimu mitaani
Na soon usishangae mwakani UDOM wakasema ili usome ualimu hapo uwe na division 1 tu yetu macho
STEM - Science, Technology, Engineering, Mathematics. Ndio mpango mzima dunia ya leo.Wangesimamisha kutoa degree za ualimu kwa sasa zikabaki za science tu
Hapa ndio umeongeajeWangesimamisha kutoa degree za ualimu kwa sasa zikabaki za science tu
Degree za Arts zimekuwa nyingi Sana na mbaya zaidi hakuna walimu Competent .Hapa ndio umeongeaje
Wasimamishe za ualimu watoe za science kwani hakuna course za ualimu za science au zote zitolewe?
Kuna mambo hata sio ya MTU kupoteza muda kusoma kutokana na wakati tulionao .Hali ya wasomi ni tete kwakweli, leo nmeingia ofisi ya kata....yani watu waliokaa pale ofisini kwamba wapo field ni wengi kuliko hata wateja......
Ukiingia ofisi ni imejaa hadi unaona ngoja nisubiri nje wateja wapungue kumbe sio wateja. Ofisi moja watu 20 wamekaa pale 🙌🙌
Inasikitisha