DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,360
Huwa sioni umuhimu wa kutoa degree ambazo hazifanyi Kazi na sio applicable in our environmentsSTEM - Science, Technology, Engineering, Mathematics. Ndio mpango mzima dunia ya leo.
Huwa sioni umuhimu wa kutoa degree ambazo hazifanyi Kazi na sio applicable in our environmentsSTEM - Science, Technology, Engineering, Mathematics. Ndio mpango mzima dunia ya leo.
Nimesikitika kuwaona hilo kundi la vijana kukaa tu hapo na kuchezea chezea simu masikini.....Kuna mambo hata sio ya MTU kupoteza muda kusoma kutokana na wakati tulionao .
Hizi course za utendaji n.k ni course za kisiasa Sana ambazo hazihitaji hata MTU kuzisomea .
Ningekuwa Mimi ni waziri nigekuwa nafanya hivi natafuta wanafunzi waliofanya vizuri form four unawapa training then unamkabidhi ofisi ya kata
Unamkalisha MTU chuo miaka 2-3 kwa Kazi ya kuandika barua , kutatua migigoro , kupiga muhuri na kusimamia shughuli za kimaendeleo za eneo husika
Tunatumia rasilimali muda vibaya Sana
Nimesikitika kuwaona hilo kundi la vijana kukaa tu hapo na kuchezea chezea simu masikini.....
Hii ya kusema walimu wametosha Mimi sumiafiki hata kidogo.shule nilipo tuna watoto 1300, Mimi tu ndo mwalimu wa somo la kingereza kwa miaka minne sasa,juzi ndo kaajiriwa mwalimu Mmoja, kwahiyo kwa watoto 1300,walimu wa kingereza ni 2.Nimeshangazwa
Ni kawaida kukuta vijijini mwalimu mmoja anafundisha madarasa mpaka matatu peke yake tu
Wakati huo serikali iko busy na maturities ya hovyo kila mara
Nadhani shida sio hizi course shida ni mpango mbovu wa serikali tu
Wasiziondoe ila waweke limit kwenye kudahili itasaidia kama hivyo alivyoweka mtoa mada 50 graduates wanatosha per entire courseDegree za Arts zimekuwa nyingi Sana na mbaya zaidi hakuna walimu Competent .
Kwahiyo nashauri wasimamishe degree za ualimu kwa upande wa Arts zote Ila science iendelee
Tatizo sio elimu bali Tanzania ni nchi ambayo haizalishi bidhaa (productivity haipo) zote ina-import unategemea niniSerikali haiwezi kujua hilo na mbaya wazazi hawapo exposed na maisha ya kielimu .
Mbowe alipata zero form six Ila alikuwa Anafanya Kazi BOT.
Means ule utaratibu wa zamani wa MTU kumaliza form six au form na kwenda sehemu kupata training then akapewa certification kuwa anaweza Kazi ulikuwa mzuri.
Ukiangalia sote hapa tulitoka chuo hatujui mambo mengi Ila tumejufunza kazini .
Na Serikali inaweza kuboresha hili jambo mtu akiwa interested na mambo socially unamuandaa since akiwa secondary then unampatia training 3-6Months anaingia mtaani akiwa certified .
Ila kilichopo MTU akipiga D zake nne anakimbilia chuo akiwa hata haelewi chochote that's bullshit and wastage of time.
100%Tatizo sio elimu bali Tanzania ni nchi ambayo haizalishi bidhaa (productivity haipo) zote ina-import unategemea nini
Watu hawasomi ili wapate kazi au cheti hapana bali waelimike huo ndo msingi wa elimu
Suluhisho sio kufuta baadhi ya course za ualimu bali ni kuajiri sema nchi yetu watu wanapenda sana shortcut wanapretend kama tatizo halipo ila lipo ni aibu sanaHii ya kusema walimu wametosha Mimi sumiafiki hata kidogo.shule nilipo tuna watoto 1300, Mimi tu ndo mwalimu wa somo la kingereza kwa miaka minne sasa,juzi ndo kaajiriwa mwalimu Mmoja, kwahiyo kwa watoto 1300,walimu wa kingereza ni 2.
Vipindi vya somo la kingereza ni 5 kwa Kila mkondo,na tuna mikondo 13 yenye wanafunzi 100@,
Serikali iajiri walimu
Tunafanya ili kutoka hapa tulipokwama.Tatizo sio elimu bali Tanzania ni nchi ambayo haizalishi bidhaa (productivity haipo) zote ina-import unategemea nini
Watu hawasomi ili wapate kazi au cheti hapana bali waelimike huo ndo msingi wa elimu
Watakimbilia nadhani chaka la TECHNICAL EDUCATIONWafute na hiyo ya arts, madarasa na hostel watafanyia mambo mengine, Udom ni chuo kikuu hvy hawawezi kukosa masomo mapya
Kuwekeza kwenye viwanda vya awali ambavyo ni smelter na refining uwepo wa hivi viwanda utafanya kuwa rahisi kuzalisha bidhaa nyingi ambazo tuna-importTunafanya ili kutoka hapa tulipokwama.
Kenya SHULE ya msingi wameongeza madarasa kutoka 8 Hadi 9, sisi tunapunguza madarasa SHULE ya msingi, kutoka 7 hadi 6, sijui tunajenga, au tunabomoa sijui, lakini ndio shortcut hizoSuluhisho sio kufuta baadhi ya course za ualimu bali ni kuajiri sema nchi yetu watu wanapenda sana shortcut wanapretend kama tatizo halipo ila lipo ni aibu sana
Akili hamna ni kuhamishia tatizo Toka kada Moja kwenda kada nyingine Bora wangebadilisha hivi vyuo view vya kilimo na ufundiIla Ccm,kwahyo hapo ndo watakua wametatua tatzo la Ajira??
Mbona hiyo BED ICT wanaitoa, kwani ina shida ganiNini maoni kuhusu mpango huu wa wizara ya elimu?
Sasa mbona hata hiyo ICT uliyoandika inaondolewaZa muhimu sana hapo ni bachelor of education in early childhood, science in ict, na in special needs
SafiI salute you kinsmen.
Mara baada ya UDOM kuwa na mkuu mpya chuo kuna mabadiliko makubwa kwa wadogo zetu wanafunzi wa ualimu ndaki ya elimu (college of education)
Inaonekana ni mapendekezo ya serikali katika kupunguza idadi ya walimu kwa madai wamekuwa wengi nchini na hawana ajira, hivyo kulimit idadi ya wanafunzi vyuo visizidi kuzalisha wasomi wasioweza kuwaajiri..
Kwanzia mwakani College of education UDOM wana mpango wa kufuta takribani degree programme sio chini ya 7 ili ziweze kubali nne tu, lengo likiwa ni kupunguza wingi wa walimu .
Ifahamike kuwa jumla ya degree programme za elimu zinazopatikana COED ni hizi
1:Bachelor of education in policy planning and management (BED,ppm)
2: Bachelor of education in adult education (BED, adec)
3: Bachelor of education in psychology (BED,Psy)
4: Bachelor of education with art (BED art)
5:Bachelor of education with science Ict (BED science Ict)
6:Bachelor of education in early childhood education( BED, ece)
7:Bachelor of education in administration and management (BED, adman)
8: Bachelor of education in special needs (BED,spen)
9:Bachelor of education in guidance and counseling (BED, Guco)
Na mwakani zitabaki programme nne tu.
BED, Spen (50 tu)
BED, Ece ( wanatakiwa wanafunzi wasizidi 50)
BED,science ICT (150 tu)
BED, art (150 tu)
Huku hizo zilizobaki zitafutwa na haya ni maagizo kutoka wizard ya elimu na tusubiri utekelezaji mwakani kwa watoto ambao ni zaidi ya maelfu kupunguzwa
My take; acha inyeshe tuone panapovuja.
Cc Tate Mkuu