sasa UDSM inahusiana nini na ushuzi wa mleta mada?
Watu mliofeli form six ndiyo kauli zenu hizo, jifunze kukubaliana na ukweli...ukiwa kilaza unabaki kuwa hivyo na huna namna ya kujinasua kwa kujaribu kuwashushusha wengine
Udom ni sawa na mtu mwenye kipara alafu hana mshiko,mtabadilisha sana bahasha kwenye kutafuta kazi! UTAIKUMBUKA POST HII
Jaluz hakuna chan maana ulicho andika watu wakikumbuke....nafikiri wanao shauri watu wasome waache malumbano ktk kusifia vyuo walivyosoma ni wenye akili na naamini ni wasomi wazuri....falsafa yako ya kufananisha chuo na mtu mwenye upara na eti atabadili sana bahasha ktk kutafuta kazi ni hoja pinzani na ya muwamba ngoma...sasa wewe subiri utakapo kutana na hao vijana wa udom ktk interview ndo utapunguza dharau na kubwata...uwezo wako utakusaidia wewe na si jina la chuo....,mimi nimehitimu hapo udom na ktk interview nilikutana na watu type yako nikakimbiza wote..vijana wangu wa udom wakafuatia..na kazi tukachukua kiulainiiiii...sijui hao wenzio na udsm zao walikua wapi.... na kwa taarifa yako..vijana wa udom wanaajirika na wameajiriwa kuliko unavyofikiri mwaka jana na mwaka huu..tena ktk taasisi nyeti na kubwa ktk nchi hiii...fanya utafiti utagundua.
Bahati kwako ni uwe umehitimu na una kazi tayari..ila kama bado upo chuo bado..nakushauri ubadilike kimtizamo kwani huku duniani chuo chako hakiitajiki bali taaluma na uwezo wako.
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
update
kuna watu wanadharau majengo hv chuo gani usomee chini ya mti? Au mnataka vyuo ambavyo majengo hata st mary's hayafikii? Chuo kikuu pia majengo yanahusika. Udom sasa hv lectures wapo asikudanganye mtu na mwonekano wake kweli ni chuo kikuu

Mkuu unakataa nini na unakubali nini?Wewe nani kakwambia UDOM kuna machangu hivi kweli mwanahuo ajiuze kwa sh500 hivi we inakuingia akilini embu acha kusikia maneno alafu na wewe ukakurupuka 2 kudakia bila kuchunguza hivi nauli ya kutoka jamatini 2 paka UDOM sh600 kwahyo huyo mtu atajiuza halafu arudi kwa mguu......umalaya ni tabia ya m2 na sio tabia ya chuo na kiukweli kila chuo hao wa2 wapo acha kudanganywa
Mkuu unakataa nini na unakubali nini?
Mwanzoni unasema UDOM hakuna machangudoa halafu mwishoni unakiri kila chuo kina machangudua(Includes UDOM).
*Hakuna mtu anachuki binafsi na UDOM ila watu wanaandika ukweli tu hata kama unauma.
*Waliosema UDOM kuna machangudoa wengi tena wanajiuza kwa bei rahisi sana ni wakuu wa chuo cha UDOM, Wahitimu wa UDOM 2012, Baadhi ya wanafunzi wa sasa wa UDOM, serikali ya wanafunzi ya UDOM na wakazi wa Dodoma(Source:TBC)
Naomba nipingane na huyu MrDOMA,KWA kuwagiza wanajf wanaosoma Hapo udom wakafanye Ka utafiti kadogo Ka baadhi ya Majengo yafuatayo...
College of informatics and virtual education.
Hostel>Block 1 mpaka 3...
Nendeni Education kule...kuna Maghorofa mengi yana kreki za kutosha..
Nendeni social..thieta one na two,
Admistration block ya kwanza kbsambyo majengo yana kreki kwenye misingi..hayo ni machache tu...
Brbr nzuri za ndani,hosptal majengo mazuri huduma mbovu..na kuwabagua wanakijiji.
Maji ya kusotea na kwa shida yanapatikana,wanakijiji hawanufaiki nayo.
Rudi kajipange bhana na urudi utuambie Kiwango cha elimu hapo kiubora...
mkuu y waste your energy kubishania vitu visivyo na mashiko wala tija, tuuuuuuuuuuuupa kule halafu potezea
unapima upepoChuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u