Udom kama Barcelona

Udom kama Barcelona

PETROLEUM ENGINEERING ina mwaka wa tatu sasa udom!UD ndo wameanzisha mwezi huu wa 10!but before ndo chuo pekee kilichokuwa kinafundisha hio kozi!
 
hapa naona kila anavutia kwake. hivi ni kwa nini mtu anakisifia chuo chake halafu anaponda vyuo vingine mm sioni hata kama inamake sense cha msingi ww shukuru ulipopangiwa then soma sana na uwe na competence na hiyo kozi unayosoma ili uweze kuhimili ushindani wa ajira popote pale duniani. lakini swala la chuo fulani kwamba ndo utapata ajira hilo halingii sidhani hata kwenye interview wanaangalia chuo. sionagi wanafunzi wanaosoma vyuo vya afya wakipondeana mara nyingi ni hivi vyuo vingine(mara nyingi Udsm,Udom,IFM,SAUT na hata SUA). badilikeni .
 
Nivizuri ujiheshimu wewe kama umepata chuo chochote mshukuru mungu kuna watu walitamani wapate hata teku lakini hawajapata kwa hiyo furahia chuo ulichochaguliwa mm niko udom ni kweli hosteli ni za kutosha na hata mazigira ni mazuri na mengineyo
 
hapa naona kila anavutia kwake. hivi ni kwa nini mtu anakisifia chuo chake halafu anaponda vyuo vingine mm sioni hata kama inamake sense cha msingi ww shukuru ulipopangiwa then soma sana na uwe na competence na hiyo kozi unayosoma ili uweze kuhimili ushindani wa ajira popote pale duniani. lakini swala la chuo fulani kwamba ndo utapata ajira hilo halingii sidhani hata kwenye interview wanaangalia chuo. sionagi wanafunzi wanaosoma vyuo vya afya wakipondeana mara nyingi ni hivi vyuo vingine(mara nyingi Udsm,Udom,IFM,SAUT na hata SUA). badilikeni .

Well said mkuu Kweli great thinker wewe
 
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
update
kuna watu wanadharau majengo hv chuo gani usomee chini ya mti? Au mnataka vyuo ambavyo majengo hata st mary's hayafikii? Chuo kikuu pia majengo yanahusika. Udom sasa hv lectures wapo asikudanganye mtu na mwonekano wake kweli ni chuo kikuu

Mkuu bado unashabikia arsenl hujakata tamaa tu duu unamoyo sana.
 
mkuu ukisharudi mtaani ndo utaelewa kuwa UDOM ni kama barcelona au la?

fikiria mambo ya msingi mkuu,jinsi gani ya kujiajiri na vitu vingine vya muhimu katika maisha yako.
 
Kwa kweli kwa staili..
Tanzania imekwisha
Hakuna wenye akili. Kama tunaowaita wasomi ndo hivi, big up guy..keep it up.
Kulingana namawazo yenu haya finyu nazan mtaajiriwa kutokana na vyuo mlivyosoma..
 
Wenzangu wa sauti na tumaini tutakula nyas mtaan nazan...nauliza??..etee???
Hawa ndo GT
HOPLESS GUYS...shame on you!!
 
binafsi cjawahi kuona msomi punguani kama huyuuuuuu.......,yaani anajicfia majengo na programes...afu wanafunzi wanandinya....
 
:shocked😀ogo soma acha ushamba wa kizamani.Ungefaa uwe unakomaa na kitabu au discusion kwa mda huu,kama we ni mwanafunzi mpya hiyo kazi ya kusifia chuo mwachie afisa uhusiano wa chuo afanye hivyo.
 
chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine tanzania nzima kama petroleum engineering, ba japanese, ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
update
kuna watu wanadharau majengo hv chuo gani usomee chini ya mti? Au mnataka vyuo ambavyo majengo hata st mary's hayafikii? Chuo kikuu pia majengo yanahusika. Udom sasa hv lectures wapo asikudanganye mtu na mwonekano wake kweli ni chuo kikuu

natangaza nafasi mbili bacholor of petroleum sifa chuo chochote tz isopokuwa udom!
 
Soma ww --------!buildings count nothing to ua intellectuality.ucwe -------- ww!chuo kimejengwa recently unategememea majengo yatakuwa ya zamani!
 
...hiki chuo cha kata sikijui na sijawahi kukipenda hata siku moja...

even me kusema ukwel sikuwahi kupenda kusoma UDSM,frombottom of my hert!na ufaulu wangu sio wa kusema kwama nilifeli na nisingeweza kwenda UD but it doesnt matter elimu yako umeipatia wapi wat matters ni how far will you change your society with what you have!ongelea about ajira kwa vijana nitakuelewa but usiongelee kuhusu vyuo hata siku moja.kauli mbiu ya udom,hasa CIVE - "IT DOESN'T MATTER UNA GPA YA NGAPI BUT WHAT MATTERS UNA UELEWA GANI KATIKA ELIMU ULIYO IPATA.by DR.MSELLE"
 
Back
Top Bottom