Udom kama Barcelona

Udom kama Barcelona

Taifa lilitangaziwa kupitia TBC kuwa kwa sasa UDOM ndio chuo kinachoongoza kwa kutoa malaya wanaojiuza pale Dodoma kwa hadi shilingi Elfu moja.
Vipi tena?
 
Ukweli ni kitu kizuri sana!
1. Unasema lecturers japo umeandika MALECTURE wakutosha... Unajua km LAW ina waalimu WANNE (4) I mean four lecturers! Mnategemea public universities lecturers km UDSM na MU!
2. Unaongelea majengo... Mwaka jana km sikosei maneno mengi Nape Nnauye alitembelea UDOM akafanya ukaguzi sijui kwa nafasi gani.. ila kwenye TV alishtushwa na ubovu wa majengo. Ukienda UDSM na MU and institutions za zamani majengo ya zamani ni km yamejengwa miaka kumi iliyopita kumbe ni yana more than three to four decades.... Kwanini hayo majengo mapya ambayo kwa mbali yanapendezesha chuo ukifika karibu yana nyufa na mavitasa ovyo ovyo? Tuwaulize NSSF au contractors au Chancellor / VC / DVCs?

Tuacheni ushabiki! After all UDOM ni kwa ajili ya Watanzania wengi wapate elimu ya juu na yenye ubora. Something that is still a challenge to be realized kwa vyuo vya zamani na hali mbaya zaidi kwa vyuo vipya UDOM inclusive. Japo elimu bora its a combination of things including qualified lecturers na wakutosha, available infrastructures (lecture theatres za kutosha, libraries, hospitals etc), social amenities etc........

Ninachofikiri ulimaanisha UDOM ni kama Barcelona ya hapo Bahi - Dodoma.....

wewe utakua upeo wako wa kufikiri ni mdogo, competent law lecturers ni haba kwa upatikanaji wao ni mdogo! cuo kama chuo lazima kisomeshe lecturers wake i think ndicho kinachofanyika even to law, mbali na upungufu ambao unausema chuo kimeendelea kutumia part time lecturers kutoka other public universities! na kumbuka kwamba hakuna chuo ambacho kina lecturers wa kutosha hata vyuo vikongwe e.g udsm, mzumbe n.k, they stil need part timers!
 
Na mie wa YALE UNIVERSITY nisemeje jamani?
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
update
kuna watu wanadharau majengo hv chuo gani usomee chini ya mti? Au mnataka vyuo ambavyo majengo hata st mary's hayafikii? Chuo kikuu pia majengo yanahusika. Udom sasa hv lectures wapo asikudanganye mtu na mwonekano wake kweli ni chuo kikuu
 
yanawasaidia nini??
 
someni vijana acheni ujinga hayo umeyakuta na utayaacha after chuo sio magorofa wala magari it is content tafuta cheti usepe wew ndo tatizo la watoto wa kata hilo
 
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
update
kuna watu wanadharau majengo hv chuo gani usomee chini ya mti? Au mnataka vyuo ambavyo majengo hata st mary's hayafikii? Chuo kikuu pia majengo yanahusika. Udom sasa hv lectures wapo asikudanganye mtu na mwonekano wake kweli ni chuo kikuu

Mbona hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya utetezi wa kitoto?
Hapo kwenye red unamaanisha nini?
 
Wewe ndio mpuuzi kama kimeshindwa chuo kilichoanzishwa sawa na uhuru kwanini mapovu yakutoke kwa chuo kichanga? Wewe umeisaidia nini nchi na chuo chako ambacho hakina majengo bora? Ila kina ubora wa elimu? Zaidi ya kuiweka ichi hapa ilipo?

ukikua utaacha
 
Udsm ki2 gan mbona vilaza wengi wako huko na wengine tumesoma nao .udsm imebak jina 2 hakuna lolote.

sasa UDSM inahusiana nini na ushuzi wa mleta mada?
Watu mliofeli form six ndiyo kauli zenu hizo, jifunze kukubaliana na ukweli...ukiwa kilaza unabaki kuwa hivyo na huna namna ya kujinasua kwa kujaribu kuwashushusha wengine
 
Tatizo la kukulia vijiji,ukiona magorofa unaona raha!soma sana kijana akuna m2 ataulizia majengo ya chuo chako.
 
acha utani wewe soma uzuri wa chuo si majengo bail ni performance ok?
 
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
update
kuna watu wanadharau majengo hv chuo gani usomee chini ya mti? Au mnataka vyuo ambavyo majengo hata st mary's hayafikii? Chuo kikuu pia majengo yanahusika. Udom sasa hv lectures wapo asikudanganye mtu na mwonekano wake kweli ni chuo kikuu

majengo safi + wanafunzi wenye div3 + uhaba wa wakufunzi = ????????????
 
Vijana tunapofikia sasa kusifia vyuo, mtoa mada angeongelea upande wa ELIMU ingependeza sana. Kwa sasa safari ni ndefu kuongelea upande wa elimu maana bado kufikia vyuo vingine, ningetamani sana kuona unaleta hoja ni jinsi gani ya kuboresha elimu na kuangalia wingi wa wanafunzi kwa class moja. Mfano education idadi gani ya wanafunzi wanaingia kwenye somo moja zaidi ya 3000 je mwl atapata muda wa kupitia na kusahihisha kwa muda gani? Asante kwa kutoa mada ili uone ubaya wa chuo.
 
Back
Top Bottom