Udom kama Barcelona

Udom kama Barcelona

Mnatisha hadi kwenye ile kitu inayopatikana kwa Tshs 500/= hapo kwenu??
 
We still have a long way to go. Kuna kitu sielewi wakuu naomba ufafanuzi, hivi hawa jamaa wa Udom walivyoanzisha hiyo petroleum engineering hao wanafunzi wanafanya practical zao wapi, sababu ukiangalia vyuo bora kwenye hayo mambo viko sehemu drilling ya oil inaendelea and najua vifaa vya kutrain petroleum engineering sio mchezo ndio maana hata vyuo vingi vikubwa hawana that subject coz mostly kunakuwa na cost sharing na industry sasa hawa vijana wanapata kweli value for their money?
 
wewe BJEVI umemkosoa vizuri ila swala la interview ni uwezo binafsi mzee..acha kusinzia mchana.
Mimi nimesoma Udom..siisifii wala siiipondi...ina mazuri na mapungufu pia.....kama inavyoweza kua udsm ama chuo kingine chochote.
Mind you..ktk kuajiri hawaajiri chuo bali mtu as an individual.
 
Sina imani na kuwango cha elimu kinachotolewa hapo chuoni kwenu
 
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u

Ukweli ni kitu kizuri sana!
1. Unasema lecturers japo umeandika MALECTURE wakutosha... Unajua km LAW ina waalimu WANNE (4) I mean four lecturers! Mnategemea public universities lecturers km UDSM na MU!
2. Unaongelea majengo... Mwaka jana km sikosei maneno mengi Nape Nnauye alitembelea UDOM akafanya ukaguzi sijui kwa nafasi gani.. ila kwenye TV alishtushwa na ubovu wa majengo. Ukienda UDSM na MU and institutions za zamani majengo ya zamani ni km yamejengwa miaka kumi iliyopita kumbe ni yana more than three to four decades.... Kwanini hayo majengo mapya ambayo kwa mbali yanapendezesha chuo ukifika karibu yana nyufa na mavitasa ovyo ovyo? Tuwaulize NSSF au contractors au Chancellor / VC / DVCs?

Tuacheni ushabiki! After all UDOM ni kwa ajili ya Watanzania wengi wapate elimu ya juu na yenye ubora. Something that is still a challenge to be realized kwa vyuo vya zamani na hali mbaya zaidi kwa vyuo vipya UDOM inclusive. Japo elimu bora its a combination of things including qualified lecturers na wakutosha, available infrastructures (lecture theatres za kutosha, libraries, hospitals etc), social amenities etc........

Ninachofikiri ulimaanisha UDOM ni kama Barcelona ya hapo Bahi - Dodoma.....
 
Anae tongozwa na anae tongoza utasikia natoka udom, kila kizuri hakikosi kasoro. Ukweli ni kwamba nauli ya kutoka hapo udom na kurudi ni Tsh700/-! Iweje mtu akajiuze kwa Tsh 500? Si kila habari ni ya kushabikia.
Hujui the law of demand and supply wewe?.The lower the price the higher the demand and more quantities supplied, hivyo kama anauza 500 anaweza kuuza mara 10 na kupata 5,000 na kutoa gharama ya nauli 700 na kbaki na super profit ya 4,300.Rudi darasani usome wewe au kama ndio elimu unayosoma hapo UDOM wewe ni gharsa.
 
chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine tanzania nzima kama petroleum engineering, ba japanese, ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u

udsm fifa
 
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
KWA HUDUMA ZA KIJAMII KWELI MKO JUU....hasa ile huduma yetu ileeeeeee!!! mpaka wabunge wanatia timu pande hizo kupata huduma ya kijamii......
 
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy: yangu macho!
 
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
mh kwa hiyo kama kipo kama Barcelona what next! Thread za UDSM kama MAN U,UDOM kama BARCELONA nadhani hazina maana na ninahisi wanaopost wapo kwenye sensory motor stage,Cognitive domain zao hazipo sawasawa
 
Hujui the law of demand and supply wewe?.The lower the price the higher the demand and more quantities supplied, hivyo kama anauza 500 anaweza kuuza mara 10 na kupata 5,000 na kutoa gharama ya nauli 700 na kbaki na super profit ya 4,300.Rudi darasani usome wewe au kama ndio elimu unayosoma hapo UDOM wewe ni gharsa.

great thinker
 
Tatizo la vyuo vya kata bana yani ni uujinga uujinga. mambo yenu ya kusifia chuo ambacho head wa department ana bachelor ni upuuzi mtupu unajisifia kusoma kichina ili iweje kwa soko la hapa bongo ukikosa kazi unalalamika kumbe chuo kimeanzisha degree za ajabu ajabu. acheni ujinga wa kusifia majengo ya mkopo ambao unawatesa watanzania.
 
Nilicho ona hapo ni ulimbukeni kwana in udom ata ile dhana ya mwl nyerere amna aliwai kusema ivi wakati alpokua anafungua chuo kikuu cha udsm "THE UNIVERSITY IS PLACE WHERE PEOPLE'S MIND ARE TRAINED FOR CLEAR THINKING AND FOR INDEPENDENT THINKING" sasa kwa udom km public institution iyo hamna uckurupuke kuweka thread humu kusifia usichokijua ww km unaproud kusema petroleum eng nakushangaa sn,kuna wengne adi leo amjapata ata bum la 1 afu unabaki unasifia ujinga acha izo mawazo mgando udom ni sawa na private institute like SAUT, TUMAINI, TEKU, hizo ndio saiz yenu barca ya bahi njooni mcheze na bom bom mchapwe mabao .
 
Hivi kwani Chuo kinanadiwa na majengo? benki na kozi ambazo hazipo kwingine?...Nafikiri umesema vema ni sehemu ya kutalii umeeleweka angalau, lakini kiwango cha pale kwenye mdigirii maisha yenu hamtafikia!
 
hawjui udom huyo! interview za mwaka huu karibia zote vija wa udo wamejaa kwenye selected new employees kwa org mbali mbali ikiwemo TRA,NSSF nhif gepf akiba bank barcleys ndo interns kibao nenda tigo, nk

Kwa taarifa yake waliongia TRA mwezi wa sita Wengi wa UDOM kama anabisha nimpe na evidence!
 
Ukweli ni kitu kizuri sana!
1. Unasema lecturers japo umeandika MALECTURE wakutosha... Unajua km LAW ina waalimu WANNE (4) I mean four lecturers! Mnategemea public universities lecturers km UDSM na MU!
2. Unaongelea majengo... Mwaka jana km sikosei maneno mengi Nape Nnauye alitembelea UDOM akafanya ukaguzi sijui kwa nafasi gani.. ila kwenye TV alishtushwa na ubovu wa majengo. Ukienda UDSM na MU and institutions za zamani majengo ya zamani ni km yamejengwa miaka kumi iliyopita kumbe ni yana more than three to four decades.... Kwanini hayo majengo mapya ambayo kwa mbali yanapendezesha chuo ukifika karibu yana nyufa na mavitasa ovyo ovyo? Tuwaulize NSSF au contractors au Chancellor / VC / DVCs?

Tuacheni ushabiki! After all UDOM ni kwa ajili ya Watanzania wengi wapate elimu ya juu na yenye ubora. Something that is still a challenge to be realized kwa vyuo vya zamani na hali mbaya zaidi kwa vyuo vipya UDOM inclusive. Japo elimu bora its a combination of things including qualified lecturers na wakutosha, available infrastructures (lecture theatres za kutosha, libraries, hospitals etc), social amenities etc........

Ninachofikiri ulimaanisha UDOM ni kama Barcelona ya hapo Bahi - Dodoma.....

Huo ni uzembe wa kufikiri UDSM ina miaka zaidi ya 50 UDOM ina miaka 5 huwezi linganisha mtoto na mzee, ugonjwa wa UDSM kila kitu ututoke Watanzania tujue kuwa kuna watu wanakuja kasi na wanatisha nao ni UDOM, mbona UDSM wameshusha entry qualifications kwa Masters kama hawawahofii UDOM. Ukweli ni kwamba UDSM sasa hivi wana hofu kubwa kwani muda wa kunyenyekewa umekwisha na ndani ya miaka kumi ijayo UDSM itakuwa hooooooi kwani imedumaa lakini UDOM wako katika harakati za kukua na kujiiimarisha. UDSM chuo cha wakoloni mnataka muendelee kututawala hata wakati huu wa ELIMU HURIA. ACHENI UZEMBE WA KUFIKIRI NINYI WAKATI UKUTA. Ukoloni mamboleo huo nyie TCU? UDSM mnawasifia MU kama SUA kwa sababu hao ni watoto wenu na UDOM mngewasifia endapo nao wangeanza kama chuo kishiriki WAKATI UMEBADILIKA YA NINI sisi bora ninyi dhaifu hazisaidii kitu. Big up UDOM miaka michache ijayo mtakuwa juu chini ya B.W. Mkapa mambo yanakwenda.

UDOM wamejitahidi sana lazima tuwapongeze kwa hatua waliyofikia, UDSM badala ya kujiiimarisha wanatumia muda wao mwingiiiii kuwakebehi UDOM wasomi ninyi hivi mnaijua HISTORY AND PHILOSOPHY YA ELIMU YA NCHI HII?
 
Back
Top Bottom