UDOM chuo kinachozoa zoa

UDOM chuo kinachozoa zoa

Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata
Tupe ushahidi, wapi wamezoa? Mifano zaidi ya mmoja itakuwa poa
 
Mpiga hera na post zake za kukurupuka yaani umbea umbea tu.. Afu ushahidi hana ana bwabwaja tu .. Wewe unasoma wapi ?? Na unasoma nn ?
.. UDOM wanachukua waliofanya vizuri tu .. Nenda college ya health ukajionee pale ni 1 & 2 only .. Tena 2 ni kwa wadada sana sana.
 
Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata
Bora usome hizo RUCO, SAUT au Theofilo kisanji n.k kuliko UDOM ya Kata.
 
Ngoja wakujibu kwanza ndo uridhike make ulihitaji hilo kuleta mada hiyo ya kibaguzi na kidharau humu
 
Sijaboreka ila kama msomi Nina haki ya kulijadili
Kwani vyuo vingine mbona vinachukua cream

Why udom??
Ww msomi umefanya nn cha kisomi ili hata wanaojifunza wajifunze kwako? Kama sio usomi Wa kimajungu
 
Mpiga hera na post zake za kukurupuka yaani umbea umbea tu.. Afu ushahidi hana ana bwabwaja tu .. Wewe unasoma wapi ?? Na unasoma nn ?
.. UDOM wanachukua waliofanya vizuri tu .. Nenda college ya health ukajionee pale ni 1 & 2 only .. Tena 2 ni kwa wadada sana sana.
Anayesoma health udom
Naye eti anajiita daktari
 
Wewe acha ujinga. Nawewe unasema ni msomi? Nyie ndo mnaaibisha nchi...watu wanajua wasomi wa Tanzania ni mapunga kisa mijitu kama wewe. Msomi anakuwa na mawazo ya kipumbavu hivyo? Labda nisiseme sana...inawezekana wewe ni msomi ila ngazi gani sasa ndo issue... uneza ukawa msomi ngazi ya chekechea
Ngazi ya degree lakini si ya udom
 
Friendly speaking Udahili wa wanafunzi unafnya na Tcu na Nacte sasa ukianza kuklaumu chuo sidhan kma ni sahihi unless entry requirements hzfuatwi hpo sawa lkn kma m2 anaingia kwa7bu amekidhi vgezo vilivyowekwa bas sio vbya tu usiwe biased sna ktk kueleza v2
Tatizo ni pale wanaporuhusu hongo
 
Inabidi ulete matokeo ya mtu mwenye matokeo ya chini ya advance kutoka udom alf utaje chuo ambacho unahisi co zoazoa na sisi tutakuletea mtu mwenye matokeo ya chini toka hicho chuo maana admission za kila mwaka zipo mtandaoni.
N.B :
Soma ukimaliza chuo na ukipata cha kufanya ndo uwe unaongea sana.
Huna hoja kaa kimya
 
Back
Top Bottom