UDOM chuo kinachozoa zoa

UDOM chuo kinachozoa zoa

Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata
Weka ushahidi kusupport thread yako, vinginevyo tutakuchukulia kama mchochezi tu
 
Bora usome hizo RUCO, SAUT au Theofilo kisanji n.k kuliko UDOM ya Kata.
Hivi wewe utaifananisha UDOM na Teku? Si wendawazimu huo, Teku kwa ubora UPI sasa walionao?
 
Ww msomi umefanya nn cha kisomi ili hata wanaojifunza wajifunze kwako? Kama sio usomi Wa kimajungu
Wasomi wamezoea sana kudharauliana ndo maana hatuendelei, ajira hakuna lakini kwa dharau na kibri walizonazo wanashindwa hata kufungua store ya mkaa
 
Nazungumzia udom chuo cha katalyist
Hivi tatizo ni Ubora au tatizo ni Uchanga wa chuo? Kitu chochote kipya kikianzishwa lazima kipitie changamoto zake lakini isiwe sababu ya kutoa matusi na kejeli kwa wadogo zetu wanaosoma hapo kuwa wote ni ma mbumbumbu No tunawakosea kuwa chuo cha Kara haimaanishi kuwa hakiwez kufanya vzr
 
Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata

Mwenye four alipitia CAS au mlango wa nyuma, kama ni CAS basi lawama kwa TCU maana wanajua Minimum Institutional Admission Points kwa kila programme lakini walipendekeza majina ya wanafunzi below cut points ila kama ni mlango wa nyuma basi mpirga era utakuwa mtu mzuri wa kuisaidia serkali na vyombo vyake vya dola kama shahidi namba moja kutuonyesha hao wanafunzi hewa na ndiyo tunawatafuta brother
 
Weka matokeo yako hapa na chuo unachosoma/ulichosoma! Isijekuwa tunabishana na mwanafunzi wa o-level!!
 
Hadi miaka ya 2005, udsm hawakua wakidahili div 3, baada ya ongezeke la vyuo wakaanza, mfn, 2011 rfk yng, alpt div 3 ya 15 akachaguliwa ed( science)udsm.duce walichukua hd div 3 ya 16 yaani E E S.mtkeo ya 4m six 2014 div 4 ilikua sw na 3 ya zmn, mfn DDC=EED au DDE=EES sw na div 3 ya 16 zmn, hvo walistahili kpt admsion..hitimisho,, zoazoa imeletwa na mfumko, thus why udsm mwk huu wamechukua gpa ya 3.0 kutoka 3.5 kwa wale dip holder.nmerefer ud coz ndo chuo bora klingna na tkwm, hili upte picha hls ya hl ilivo ss.
 
Back
Top Bottom