jaluo D
Senior Member
- Jun 10, 2016
- 175
- 91
Wee mwenyewe hujui kujenga hoja unataka achangie nini hapo..!! Rudi shule kasome namna ya kujenga hoja zakoChangia hoja usitake kujua elimu yangu kama unashindwa kujenga hoja kaa kimya
Wee mwenyewe hujui kujenga hoja unataka achangie nini hapo..!! Rudi shule kasome namna ya kujenga hoja zakoChangia hoja usitake kujua elimu yangu kama unashindwa kujenga hoja kaa kimya
Hahahaha...unaweza kuta hata chuo kikuu hajawah fika that's why hana sense katika hoja zakeKama ni chuo cha Kata tutajua acha tukasome sisi we jishauwe hapo na umeishia vi College uchwara afu tutakutana job
Taja university inayochukua 4m four



kweli wewe ni wa mwendokasi hata maana ya university haujui.....yani wewe unajua university haiwezi chukua kozi za cert na dip kwa form 4 lvr.....hata SUA,UDSM,MZUMBE,MUHIMBILI,BUGANDO najua ndo unajua ndio vyuo vikuu pia wanadahili diploma kwa wny vyeti vya form 4...Kama haujui tafuta admission book ya NACTE,naona haupo familiar na mambo ya elimu sana,wewe umekua ukisoma ukiambiwa chuo bora ni chuo fulani tu.Sio vizuri kuponda vyuo, chuo ni chuo tuHivi na wewe unajihesabu umesoma kwa mwandiko huo....jichunguze wewe kwanza kabla ya kumuangalia mwenzako...hicho chuo ulicho somea wewe(kama kweli umesoma) kinatakiwa kuchunguzwa
yaani zoa zoa sabuni au? yupi mwenye four kachaguliwa bachela 2016/2017 au unamaana gan?Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata
wewe unajuaNimependa uzi wako kwani unaonyesha jinsi tunavyo angalia mambo kwa dhana tofauti. Udahili Tanzania unakuwa regulated na TCU na wao ndio wanaoweka ufaulu wa chini unaokubalika sio UDOM inayofanya hicho wala si chuo kingine chochote. Kama una point 4 kwenye masomo mawili na nafasi ipo kwa nini UDOM wasikuchukue? Pia wanapochikua hawaangalii kama una division gani wanaangalia kama una point ngapi na kutokana na program umefaulu masomo gani.
Unashindwa kuelewa mtanzania anaetaka au anaefurahia vijana wenye sifa wasidahiliwe vyuo vikuu halafu kila siku tuna lalamika nchi jirani zina udahili mkubwa. Division 4 kusoma university kuna tatizo gani-inategemea anachukua nini (kuna course fupi, kuna certificates)-issue sio kusoma university bali anasomea nini na level gani.
Jamaa hata kuandika kiswahili hawezi! Sijui tumuite jina gani!Mkuu wewe umesoma chuo gani mbona kujenga hoja tu shida unaelimu kweli au na wewe umezolewa?
Inawezekana ni muuza chakula cafe za udom unajifanya na ww mwanachuo!!ww pia c umezolewa tuu!!weka matokeo yako hapaKumbe na wewe ni kakilaza
Serikali inahamiaje chuo cha kata ...!
Kwahyo inamaana hata bb yako ni low mental ability
Kwenye wasomi na wewe upo? Hata bachela huna una kazi ya kujaza server za jf tuu...Sijaboreka ila kama msomi Nina haki ya kulijadili
Kwani vyuo vingine mbona vinachukua cream
Why udom??
Kasoma chuo cha vipanga bro-UDSM home of intelectualskwani jpm kasoma chuo gani eti!