UDOM chuo kinachozoa zoa

UDOM chuo kinachozoa zoa

UDISM,home of bogaz,dictators.n.k
mkuu kwani hapo uyo mkuu alivojibu kakosea nin,au unafkir amejibu kwa ubaya mpaka ubadilishe kauli au alichokisema?? sio vema kuinglia au kujibu ambapo hata si lazima au haustahili ni vzur humu ndani tukiwa na hoja kuziwasilisha inavyostahili si kufatlia mtu kacomment nin?
 
Huyu jamaa mtoa uzi nimemfikiria lakini sijapata jibu. Ila naomba kumshauri tu. Bwana wee kitu usipokijua ni bora ukauliza lkn sio kuropoka
 
Mtoa maada ni Form 4 failure..... Dalili ya Mvua ni mawingu, dalili ya kilaza angalia mpangilio wake wa maneno... Teh teh
 
Sijaboreka ila kama msomi Nina haki ya kulijadili
Kwani vyuo vingine mbona vinachukua cream

Why udom??
Shule umesoma wapi?...... Udom haidail wanavyuo, hiyo ni kazi ya Nacte na TCU...... Sasa sijui umekula maharage ya wapi ww. Nyie mliosoma Chini ya miti mna shida Sana.
 
Udom Wana offer diploma & certificate baadhi ya programme... Sasa huyu kilaza anashindwa kufafanua. Japo DV 4 hawezi chukuliwa kwa certificate au diploma
 
Friendly speaking Udahili wa wanafunzi unafnya na Tcu na Nacte sasa ukianza kuklaumu chuo sidhan kma ni sahihi unless entry requirements hzfuatwi hpo sawa lkn kma m2 anaingia kwa7bu amekidhi vgezo vilivyowekwa bas sio vbya tu usiwe biased sna ktk kueleza v2
 
Sie ambao hatujawahi kusoma vyuo vikuu tuna shida sana, tokea tulivyokaririshwa kuhusu UDOM basi imekuwa nongwa! mtoa mada si ajabu hata VETA hajasoma ila anajifanya kuponda UDOM ili tumdhanie kuwa na yeye amepiga kitabu. Tulia tu kama mimi na darasa langu la saba, lakini ni member JF sijafukuzwa kwa kuwa sijasoma.🙁🙁
 
Mtoa mada utakua na Elimu ya hapa na pale TCU na nacte ndio wanaohusika kudahili wanavyuo wote ila wewe anasema UDOM ni ZOA ZOA jaribu kuweka uhalisia kwenye mada zako.

Wote tunajua kwamba hata kama umesoma Udom wewe ndio inatakiwa uwe makini ili upate Elimu itakayokusaidia. TCU Na Nacte wanahakikisha vyuoni hawaendi makanjanja .
 
Sijaboreka ila kama msomi Nina haki ya kulijadili
Kwani vyuo vingine mbona vinachukua cream

Why udom??
Wewe acha ujinga. Nawewe unasema ni msomi? Nyie ndo mnaaibisha nchi...watu wanajua wasomi wa Tanzania ni mapunga kisa mijitu kama wewe. Msomi anakuwa na mawazo ya kipumbavu hivyo? Labda nisiseme sana...inawezekana wewe ni msomi ila ngazi gani sasa ndo issue... uneza ukawa msomi ngazi ya chekechea
 
Back
Top Bottom