UDOM chuo kinachozoa zoa

UDOM chuo kinachozoa zoa

TCU ndo Tatizo wamekuwa Ma Dalali wa Vyuo badala ya kuwa Consultant agent kwa wanachuo
 
Weka ushahidi , bila ivo utoe mihemko yako humu.
 
Sijaboreka ila kama msomi Nina haki ya kulijadili
Kwani vyuo vingine mbona vinachukua cream

Why udom??
Labda kwakuwa UDOM kina uwezo wa kudahili wanafunzi wengi sana, ukilinganisha na vyuo kama UDSM, ambapo ushindani unakuwa mkubwa, kwahiyo wanaishia kuchukua division za juu.

Ingawa katika kulinda ubora wa elimu haiingi akilini kumsajili mwanafunzi aliepata divison four, huo ndio ukweli hata kama unauma. Ingawa division four bado ananafasi za kujiendeleza kupitia mifumo ya aina ingine, ila kwa degree hapana.
 
bila shaka na ww ulizolewa thats why hata kujenga hoja ni shida
 
HR 666

bwana mdogo utaweweseka sana, mwisho wako ulikuwa tarehe 2/5/2016 ndani ya chumba cha necta.

utakuja kwa yeezus, uta appeal mitihani, utaandamana, utagaragara, utatukana, lakini mwisho wako ulikuwa pale ulipokuwa unahesabu mabati wakati wengine wakilicharaza booklet.
 
Back
Top Bottom